Siasa mbovu za soka la bongo!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Kama kuna mtu asiyeamini simba na yanga zinabebwa arudie kuangalia you tube kwenye internet mechi ya ngao ya hisani kati ya azam fc na simba sc.......
Ushindi wa simba utata mtupu........
Wacha unazi chambua you tube toa maoni yako.....simba ilibebwa!!!!
Hatutafika popote kwa staili hii
 
Hapa ni jukwaa la siasa! na pia hiyo clip ya youtube ungekuwa mtu makini ungeweka hapa na utoe comments kwamba miongoni mwa sheria 17 za soka ipi ilikiukwa kuibeba simba acha kubwabwaja kama umekunywa maji ya betri!
 
Team ya Wananchi(Yanga) inaingiaje kwenye mchezo wa Ngao ya Hisani uliowakutanisha team mbili rafiki na ndugu Simba na Azam be straight Mkuu kuwa Simba walibebwa na ndo zao kubebwa, kila siku penalt fatilia michezo yao utakubaliana na mimi na mtoa mada
 
Back
Top Bottom