Siasa kama hizi zitatufikisha wapi?

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
CHADEMA walifanya mkutano jangwani, CCM na wakajibu mapigo, CHADEMA wakaanzisha operation ya "vua gamba vaa gwanda" CCM nao wakaja na yakwao "vua gwanda vaa uzalendo"Je watanzania kwa siasa kama hivi za majibishano zitatufikisha wapi?

Badala ya kukaachini na kufikiria maendeleo ya nchi. Uamuzi ni wetu kuzishabikia au kuachana nazo.Tafakari chukua hatua!
 
Back
Top Bottom