Siasa Inamfikisha kipind mtu kuwa chizi na mwendawaz... eti?

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,147
512
Inafika kipind mtu lazima awe chizi. Hapa nataka kuwagusa kidogo wale jamaa hasa katika nchi anayotoka baba Brooklyn ambae ni maarufu kuliko hata viongozi wake.
Alipoona hana jipya yaani hakuna hata barabara ya vumbi katika nchi yake, akaona raia wanaweza wasimkumbuke kabisa, ndipo akaja na ishu moja ya ajabu sana yaani ya kishenzi, eti "kuanzia leo mashoga wanastahili kupewa haki kama watu wengine, hakuishia hapo halafu na nyie waafrika ole wenu mmoja aje kuniomba msaada kwangu wakati mashoga unawanyima haki zao".
Mmmh kwa sasa mashoga wanamwita Sir. Unajua ni nani? Pengne umesahau kwa kuwa yapata mwez umeshapta ni David Cameron.
Daa kiukwel jamaa kaishiwa sera..!

Mytake: Hivi kama nao watumiaji wa madawa ya kulevya na bangi pia majambaz na wezi wakiamua kuandamana kwa kuomba haki za kazi zao, hivi itakuaje? Maana neno haki, kwa sasa limekosa maana. Na Obama akaongezea badae kidogo. Kwa nini Obama na Cameron hawajatupa mfano wa ku do wao kwanza ili tupate mfano?

Halafu , wazungu hawaishiwi ukorofi? Ni kwa nini alama ya kiulizo ni ishara ya bara letu yaani afrika? Cheki raman ya Afrika.

Yap, take zem away, gwala kwa wana hapo ulipo na xmas na mwaka mpya mwema.
 

Mytake: Hivi kama nao watumiaji wa madawa ya kulevya na bangi pia majambaz na wezi wakiamua kuandamana kwa kuomba haki za kazi zao, hivi itakuaje? Maana neno haki, kwa sasa limekosa maana. .
Alafu kama tungelikuwa tunapewa msaada na prezidaa wa Jamaica au Columbia akasema mkiwakamata au mkiwanyanyasa tu no misaada. Inakuwaje?
 
Back
Top Bottom