Elections 2010 siasa bwana!

GRACE L

New Member
Sep 20, 2010
3
0
viongozi wanatukana arharani, alafu wanatuomba ridhaa ya kuwachagua,mi naona wangekuwa wanashindana kwa sera zenye kujenga na si kutumia lugha za matusi na jaziba,maana mie kama mtanzania niliyeelimika nimesha mshushia heshima yake kiongozi kama huyu.
 
Ninawasiwasi kama umeelimika! Subiri wa JF watoe hukumu kama wana muda wa kuku itntertain anyway!
 
Je ulimsikia JK jana akisema wapinzani ni genge la majuha? Anasema hivyo kwa sababu JK anajua fika kwamba hakuna polisi yoyote atakayemkamata.
 
viongozi wanatukana arharani, alafu wanatuomba ridhaa ya kuwachagua,mi naona wangekuwa wanashindana kwa sera zenye kujenga na si kutumia lugha za matusi na jaziba,maana mie kama mtanzania niliyeelimika nimesha mshushia heshima yake kiongozi kama huyu.

Ulishawahi kumsikia Makamba akitukana? Unasema nini wewe?
 
viongozi wanatukana arharani, alafu wanatuomba ridhaa ya kuwachagua,mi naona wangekuwa wanashindana kwa sera zenye kujenga na si kutumia lugha za matusi na jaziba,maana mie kama mtanzania niliyeelimika nimesha mshushia heshima yake kiongozi kama huyu.

GRACE: Did you find this post helpful? |
 
Back
Top Bottom