Siasa baadhi ya mambo ni kama kanisa au msikiti

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
Kwa wale wenye mitizamo isiyo badilika ,
Hv mmewahi kufikilia lengo la chama cha siasa?
Wengi mtasema ni kushika dola, lakn ni zaid ya hapo!!

Mtizamo wangu chama cha siasa lazima kiwe na malengo ya kuwafanya wananchi wote wawe wanachama wa chama husika,
Mimi ni mkristo lengo la kanisa letu ni kuhakikisha kila binadam aje kwenye imani yetu hata kama hatuji kufanikiwa lakn ndio lengu letu !! Nafikir hata kwa ndugu zangu waislam wanatoa elim ya din yao ili wote waslim na kuwa waislam !!

Sasa inakuwaje kwa mwanachama wa ccm akihamia kwa mfano chadema aonekane na wanachama wa chadema hafai huyo mwananchi??? Mlikuwa na malengo gani kueneza sera za chama chenu?
Hata awe mhalifu wa aina gan akiamua kuwa mwanachama maana yake anatubu na kuwa mwanachama msafi!! So hamna budi kumpokea!!

Kanisan au msikitini hata uwe na dhambi kiasi gani unapokelewa ili mrad uwe tayari kuacha matendo yako ya awali!!

Niwakumbushe kidogo.
Namkubali dr slaa sana! Lakn kumbuka alikuja chadema baada ya kukatwa kama huyu lowasa !!!
Lakn ndiye amekuwa lulu ya chadema na amekuwa mwiba wa ccm!!!
Je umewahi kufikiria kama asingekatwa chadema ingekuwaje leo hii!!
Kwahiyo mwingine akikatwa akaja huku au akaenda kule ni shujaa kutegemea maisha atakavyoyaendesha chama kipya !!

So kauli za oil chafu , sijui makapi hazna mashiko !!
Wana UKAWA tuungane tujenge Tanzania mpya!!!
Hayo maneno ni kutapatapa kwa mfa maji!!
Na sisi wana ukawa tuwe tayari kumpokea mwananchi yeyote hata aje JK leo hii tushangilie kwa sera zetu hata mwenyekiti wa ccm kazkubali!!!!
Tusifunge mlango kwa wanachama wapya wa leval flan na kutaka wananchi wa kawaida tu!!!!
 
Back
Top Bottom