Siamini wamarekani wamemchoka obama

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Juzi juzi tu obama alikuwa ametoka mbinguni sasa hivi wamemgeukia . Duh ni kwa sababu ya sera zake au ?
 
Obama ni kama JK. Aliingia na ahadi nyingi ambazo hana uwezo wa kuzitekeleza. Waliomchagua Obama ni vijana kwa sababu aliwapa matumaini. Lakini US does not belong to idealistic youths. The US belongs to big business and big business is mainly Republican. So Obama is likely to be a one-term President. Africa will not miss him.
 
<br />
<br />
Kaka hongera sana kwakuliona hili Obama ni JK Mwingine alitoa ahadi nyingi kwavijana na wazee kuwapaia ajira lakini hakuna lolote alolifanya...bora wamrudishe kwao Kenya...
 
Back
Top Bottom