Siamini kama hatuna wataalam waliofuzu vyema....

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Ninaamini kabisa wataalamu tunao wa kutosha katika baadhi ya website za taasisi kubwa hapa TZ ni lazima uwe zaidi ya mwehu ili uweze kukubaliana na unachokitazama mfano ni huu....
1.link Huyu naye unaweza kusema ni webmaster?
2.endelezeni wako wengi tu...

mbaya zaidi unaweza kuomba email address yao ukapewa ya abc@yahoo.com .....

Sometimes i smile coz i don't know what the hell is going on .....
na mijitu unakuta inasugua makalio (IT-Manager), hata likitaka kugonga patch cable lina outsource...
wehu mtupu!
 
Back
Top Bottom