PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Kuna post moja iko humu jamvini Ina potosha watu kuhusu ruzuku na vyama vya siasa na kuwa maneno haya kayasema mbowe,ni kweli alisema lakina haku maanisha hivyo kama baadhi ya watu wanavyo taka kuaminisha watu,alisema namnukuu,chadama kama chama hakitategemea fedha za ruzuku katika kampeni zake za arumeru,kwani zimekua zikilemaza vyama na kuwa tegemezi na kuwa kampeni hizo zitagarimiwa na wananchi wenyewe kwa kukichangia chama kwenye mikutano itakayo kuwa inafanyika.ndipo alipoamua kutembeza bakuli na akatoa namba za simu kwa atakae penda kutoa mchango wake.
si vizuri kumlisha mtu maneno ambayo hakusema.
si vizuri kumlisha mtu maneno ambayo hakusema.