Si Ushabiki Nauliza Tu

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,180
85,338
Kuna kitu kinaniumiza kichwa sana, nimejaribu kunywa maji na kumeza dawa imeshindikana, nauliza tu; kama nikikuudhi nisamehe; Eti ile kauli mbiu ya mwaka huu ya akina Magamba inayoenda kwa "Ari zaid, Nguvu Zaidi, Kasi Zaidi" bado ipo au ilikufa? Mukama simpati kwenye simu na Nape nae ka-block email yangu, ningewauliza, naombeni mnisaidie....Ipo? Na kama Ipo, je inatumika bado? maana sijaona kanga wala tisheti wala caps za kijani na njano zikiwaprinted kwa maandishi hayo kama kipindi kile kabla ya ngozi kugeuka kuwa gamba, nawakilisha
 
Kwani uchaguzi tayari? Ukikaribia uchaguzi utaona kaulimbiu, lakini sasa hivi
JK na watu wake wanajichukulia chao mapema ili wakiondoka wasiishi maisha
ya dhiki.
 
mkuu nishamcheki jamaa anasema wameamua kutumia kazi ni kwako!!!yaani ni wewe tu!!
hahahaaa, na mimi nilijiuliza sana maana ya hilo neno ni nini? hahaaaa kumbe ndio kauli mbiu yao eeh, sikujua bana.
 
Kazi ni kwako ni kaulimbiu ya ccm magamba (kundi la Lowassa) ili kuijibu ile
ya JK.
Duh, kweli wamekaaa kimipasho mipasho Mpwa, yaani unasema baada ya jamaa kuanzisha Ari zaidi, Nguva zaidi na Kasi zaidi, ndiyo jamaa wakaamua kumjibu kuwa "kazi ni Kwako" ok , ok, well noted Mpwa
 
Mkuu kanga zipo na ujumbe "Tujivue magamba", Je UMELIONA GAMBA LANGU JE LAKO, nA Kama gamba kulivua raisi jaribu nawewe..
Ndo ujumbe unaopatikana kwenye kanga
 
...uvumbuzi siyo razima uvumbue ndege.. unaweza ukavumbua hata ri nanhiii weweee... Ri GAMBA! ...kazi ni kwako!
 
Mkuu kanga zipo na ujumbe "Tujivue magamba", Je UMELIONA GAMBA LANGU JE LAKO, nA Kama gamba kulivua raisi jaribu nawewe..
Ndo ujumbe unaopatikana kwenye kanga
ahahahaaaa, asante sana nimefurahi kwa hiri ri-observation rako....hapo naona kama vile kwenye Avatar umejifunga kanga....waweza sema hio imeandikwaje???
 
...uvumbuzi siyo razima uvumbue ndege.. unaweza ukavumbua hata ri nanhiii weweee... Ri GAMBA! ...kazi ni kwako!
Duh, kwahio Mpwa unataka useme kiranja mkuu aingie kwenye kitabu cha wavumbuzi duniani??
 
Hivi kauli mbiu ndio ilikuwa sera ya Mzee au ndio ilikuwa ilani yake ya Uchaguzi au yalikuwa maneno ya kuadaa Panzi?!
 
Hivi kauli mbiu ndio ilikuwa sera ya Mzee au ndio ilikuwa ilani yake ya Uchaguzi au yalikuwa maneno ya kuadaa Panzi?!
kwa kweli hata mimi sina jibu maana kaja nazo nyingi kiasi kwamba kama ni chama basi watakuwa na "ofisi" mahususi kwa ajili ya mambo na kazi hiyo peke yake ila kama ni yeye basi ni kama mjumbe alivyopendekeza kuwa aingie kwenye kitabu cha wavumbuzi...........
 
Kauli mbiu ya Kasi zaidi ilizikwa rasmi pale Magufuli alivyoonekana anakwenda kasi saidi kuliko bosi wake ...
 
Kauli mbiu ya Kasi zaidi ilizikwa rasmi pale Magufuli alivyoonekana anakwenda kasi saidi kuliko bosi wake ...
Nakubaliana na wewe mia kwa mia....walivyoona kuwa kasi zaidi ndio kama ile wakaamua waifunge speed-governor
 
ahahahaaaa, asante sana nimefurahi kwa hiri ri-observation rako....hapo naona kama vile kwenye Avatar umejifunga kanga....waweza sema hio imeandikwaje???

MKUU KAULI MBIU ZA OBAMA ZIMEKWENDA SHULE NDO ZIMEANDIKWA KWENYE KANGA
Campaign Slogans of Barack Obama in the USA

1. "Yes We Can"
2. “Change” versus “More of the Same”
3. "Vote for Change"
4. "Change We Can Believe In"
5. "Our Time for Change"
6. "It's about Time. It's about Change"
7. "Stand for Change"
8. "Organize for Change"
9. “We are the change we’ve been looking for. Change can’t happen without you.”
10. "I’m asking you to believe. Not just in my ability to bring about real change in Washington . I'm asking you to believe in yours."
11. "A leader who can deliver change"
12. "Change in America doesn't start from the top down. It starts from the bottom up."
13. “Obama Momma”
14. "Women for Obama"
15. "Obama for America "
16. "A New Beginning"
17. "Help me take back America "
18. "My President is Black"
19. "Eight [years] is Enough"
20. " America , we cannot turn back. We cannot walk alone."
21. "We must pledge once more to walk into the future."
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom