Si umeshaolewa wewe? Wamtega nani?

Kumbeeeeeee - Wanawake wengine wakiolewa huwa wazuri zaidi - aka huwa na mvuto zaidi and vice versa...!!!

FP - mambo vipi lakini?
Poa rafiki yangu................. ukiolewa lazima uendelee kubaki na mvuto ili aliyekuoa asikate tamaa............. hata ukiwa na wababy...................... unarudia hali yako au unajitengeneza uwe na mvuto zaidi................. kwa mumeo tu (sasa hao wa mtaani wanaokutamani shauri yao)
 
Nani kakwambia tunavaa ili kukutega wewe? Ukiteguka kimpango wako!

Nyie acheni habari hizo-mnasupport 2 kuvaa nguo za halfnaked. Kama umemvalia m2 c ndo ukafanye hvyo chumbani kwake. CC ndo 2meshaumbwa kutegeka sasa. Na hivi mnavyopenda pesa, ndo maana uzinzi hauishi na ukimwi hautoisha kamweee! Grow up ladies mjiheshimu bwana!
 
..mtoa mada fafanua... Unategwaje? Vazi linakuaje mwln? Funguka.
 
Kwanini mwanamke anaendelea kutega watu kimavazi na kimwendo wakati ameshaolewa?

we modernize everything yaani kuanzia heshima mpaka utu wetu ... haki sawa kwa nani... kwa wote ....
mie ntabaki primitive sana kuhusu haya mambo kiukweli ni AIBU mke wa mtu kutukalia U..CH..I
binadamu tunatofautiana SANA... duuh kwa hiyo wanaume wengine wanaonafahari mkewe asipojistiri na anatoka naye
DADA ZETU MAMA ZETU PUNGUZENI TUNAWAHESHIMU SANA ..........
 
Kwanini mwanamke anaendelea kutega watu kimavazi na kimwendo wakati ameshaolewa?

Mhhhh! Sikujua kwamba binti akishaolewa anatakiwa avae burka na kisha kutembea miondoko ya ajabu ajabu ambayo hajawahi kutembea maishani mwake ili asiwatege Wanaume.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom