Si sahihi kwa ITV kuwapa Airtime uamsho kwa hali ilivyo sasa.

Inasikitisha kwa jinsi tunavyofikiri kwa kuangalia upande mmoja wa shilngi.Nadhani wengi hatuelewi jinsi media inavyofanya kazi na uwezo ilionao kuathiri jamii kwa kurusha hata kipande cha sekunde moja cha taarifa chochezi
 
Kwa tanzania tatizo hili ni kubwa.Mhariri lazima awe makini sana.Si kila taarifa jamii lazima ijue(public consumption)kutokana na athari zitakzo tokea baadae.
 
Hivi itakusaidia nini kusikia maneno hayo na manaeno hayaohayo yakamfanya jirani yako aamke saubuhi na kuchoma nyumba yako na familia yako yote.THINK TWICE.Wahariri lazima wawe makini.
 
mbona vyombo vya habari vya marekani vinayapa magaidi airtime pale yanapotoa taarifa zao hasa mikanda ya video?

Kaangalie kama marekani wanatoa airtime kwa magaidi kwenye media zao.Hao wengi ni arabic media coz wanainterest kama vile Aljeesira
 
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.

Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri

UHURU WA VYOMBO VYA HABARI,acha mambo yako unatupeleka wapi unaangaliaga BBC na CNN au algezera,hakuna kuchagua habari.
 
Na hapa ndo tunapokosea kudhani kwamba kila maoni yanatakiwa kurushwa hewani na kusikilizwa na ummma! TAFAKARI........
nasisitiza! wanahaki ya kupata airtime na kuongea kama walivyoongea...hivi unadhani wasingeipa serikali hayo masaa unadhani shehe angerudishwa?
 
Habriya Leo saa mbili usiku
Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV
1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa.
2.Kumpa airtime mwislamu aliyekeamatwa ikulu kutamka yale maneno ambayo ni wazi yanahamisha hata wale ambao walikuwa wameamua kutulia majumbani kuingia mtaani kutetea kile wanachokiamini.

Kwa wakati huu vyombo vyetu vya habari vyapaswa kuwa makini sana.katika Agenda Setting na Framinig la sivyo tutabaki kuangalia biashara huku amani tunaipoteza.Ni ushauri

Hawakukosea.Wakati mwingine watu wanafikia kufanay wanayofanya kwa kukosa sehemu ya kutolea maoni/mawazo yao
 
Back
Top Bottom