mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,163
- 787
wakuu habarini, ninampango wa kuanza kuishi na mke wangu,
nilioa muda yapata miaka 5 iliyopita, maisha yalikuwa ya
kusoma na tulikuwa tukionana mara mbili hadi tatu kwa mwaka, yaani nyakati za likizo
wakati wa likizo tukitekeleza tendo mwezi mzima, wiki mbili au hata wiki moja tu, ilitegemea
na likizo yenyewe.
sina hakika kama yupo amabae ninasaidiana nae kula tunda langu, lakini nalionaga tamu sana
kwa vile labda nakula kwa misimu ya mwaka, sasa nataka liwe tamu na mke wangu aone alikuwa
anamiss vitu vitamu kwangu..binafsi najiona sina jipya, na atanichoka haraka, naomba nipate ujuzi wenu
wale waliodumu kwenye ndoa zao kwa muda wa kutosha. Ikiwa ni pamoja na tendo, naomba nipate
ushauri katika maisha ya ndoa ya kila siku.
naomba hekima zenu. watoto wa shul/chuo marufuku kutoa balekhe zenu hapa.