Si lazima ujipendekeze CCM; Dogo Janja is getting his shine on his way@ Washington DC!

Kweli mmejipanga mpaka ulaya?,wengine ulaya wengine humu humu nchini!.CHAMA CHA MSIMU sjui!
 
Ingekuwa ni wabunge wa CCM wangehoji pesa wamezipata wapi.....haya....
 
Ingekuwa ni wabunge wa CCM wangehoji pesa wamezipata wapi.....haya....
Lazima tuhoji kwani wao wako Chama tawala, inakuwa rahisi kuchota toka katika kodi za walalahoi, hata kama iwe ni safari ya kichama.
 
Ingekuwa ccm kungekuwa na mshafara wa madar 12 V8 watu 24 kusindikisa tena wanalipwa kwa DM kamawanavyodai ! Folen kisa msafara na wangetangwa TBC na wasingesimama nje ya fens hata kama hawana lamaana la kufanya white house
 
Back
Top Bottom