Si lazima kutofautiana kumaanishe Mpasuko

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Nimekuwa nikifuatilia siasa za Chama tawala na zile za upinzani nchini Tanzania kwa muda mrefu.

Nilichojifunza ni kwamba watanzania baado hawajajizoesha utamaduni wa kutofautiana kihoja na kimtazamo.

Kunapotokea tofauti mara nyingi hutafsiriwa kama Mpasuko na mwanzo wa matatizo katika chama husika.

Mimi nasema, tofauti za kimtazamo na kihoja zinaweza kutumiwa kama mtaji wa kuimarisha chama ama taasisi yoyote ile ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom