Wasifu/CV ya Profesa Joyce Ndalichako

Watoto hawa Njuka,first year wamekuja na Nepi wanataka kuhoji Credibility ya Ndalichako?

Hivi ninyi watoto mnajielewa kweli nyie!

Yesu awasaidie
Siko tayari kukujibu vibaya laiti ungenielewa maana yangu wala usingejibu kwa kukurupuka kaka, Nimehoji hivi nina maana kubwa ni kwamba sa hivi watu wananyimwa mikopo eti kisa mtu amesoma sayansi je wao wamesoma hayo masomo ndo maana yangu sijamzarau mheshimiwa nina muheshimu sana tena sana mimi sijajengwa kwenye misingi ya kumbeza mtu.
 
Back
Top Bottom