Haswaaaaa na ukizingatia kuwa handsome boy wake mwenyewe aliachana na mswaki tangu akiwa shule ya msingi.Anaonekana alijilazimisha tu apate reputation kwamba "mtu wa watu" but in reality inaonekana alikuwa anaona taaabu mno. angalia sura yake
Huyo HB, anafanana na Mwanajamii Mwenzetu.
Huyo HB, anafanana na Mwanajamii Mwenzetu.
am not sure kama imemtoka moyoni au she wana get something on the expense of the poor...
Anaonekana alijilazimisha tu apate reputation kwamba "mtu wa watu" but in reality inaonekana alikuwa anaona taaabu mno. angalia sura yake
Wivu wa kijinga, ni mambo gani ya kijinga anayokuchefuwa? namfagilia sana huyu demu i wish wa dada wengi wa kibongo wangekuwa wanaishi kwa life style yake basi Bongo ingekuwa sehemu nzuri zaidi ya kuishi.huyu mama ananichefuaga sana na mambo yake