Shyrose Bhanji ajinadi vizuri bungeni katika kinyanganyiro cha ubunge wa EA

Iron Lady

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
4,071
1,363
Akiwa mmoja wa wanawake kupitia tiketi ya ccm, shyrose bhanji ajinadi kwa kujiamini kwa lugha iliyosafi na kwa mbwembwe bungeni leo katika kinyanganyiro cha kugombea uwakilishi wa tanzania katika bunge la EA .
swali je historia yake ya uwezo wa uongozi na uanaharakati unawiana na uzuri wa lugha na maneno matamu aliyojinadia bungeni leo? je atatuwakilisha vizuri?
nawasilisha
source.tbc 1
 
Tatizo siasa za bongo zimejaa visasi na huyo dada mara nyingi ametokea kuwa muathirika wa siasa hizo! Sijui leo, lakini namtakia kila la heri!
 
Ndo wewe umekuja kujipalilia hapa!...we ni bingwa wa kushndwa!hana sifa..atashndwa kama kawaida yake!
 
vp ufanyaji kazi wake katika taasisi alizowahi kufanyia wengine watujuze.

ila amejieleza vizuri binafsi nimefurahishwa nae.
 
Ndo wewe umekuja kujipalilia hapa!...we ni bingwa wa kushndwa!hana sifa..atashndwa kama kawaida yake!

wewe nawe umeparamia?!!!!!
atoke bungeni fasta aingie JF kujifagilia?!!
unaongozwa na hisia au tafakuri?
akishindwa si basi atajaribu tena kwani kushindwa na kushinda ni sehemu ya mchakato wao
lamsingi hapa mimi kujadili uwezo wake kiuongozi kwani lugha yaweza kuwa nzuri sana ila uwezo wa utekelezaji ni kitu kingine hili haswa ndio jambo la kujadili.
 
Hata mimi nimependa sana alivyojieleza with full confidence. Sijui kuhusu utendaji wake.

Hongera SHYROSE
 
Hakuweza kujibu swali aliloulizwa na Dr Mwakyembe, aliweka mbwembwe za kimombo but hakujibu swali. BTW ana kiingilishi kizuri. All the best!
 
Nyie ni sawa na wanaosifia uzuri wa makaburi kuwa na rangi nzuri na vigae vya kung'aa vizuri kutoka Italy kumbe ndani kuna mifupa na uchafu wa mizoga.Wake up gentlemen.
 
Nyie ni sawa na wanaosifia uzuri wa makaburi kuwa na rangi nzuri na vigae vya kung'aa vizuri kutoka Italy kumbe ndani kuna mifupa na uchafu wa mizoga.Wake up gentlemen.

Ndio maana na wewe upo hapa ili ueleze huo uchafu wa mizoga.
 
Wakuu najua haturuhusiwi kuhukumiana ila huyu dada tabia yake ya kutoa uroda hovyo hovyo na uvutaji wake wa sigara unanipa wasi wasi juu ya uadilifu wake kama mwanamke. Labda atabadilika kama atachaguliwa ila sioni lolote la maana kutoka kwake. NMB wanaomba afukuzwe hata leo maana huko ni kilaza na ngoma ya wakubwa.
 
Tatizo siasa za bongo zimejaa visasi na huyo dada mara nyingi ametokea kuwa muathirika wa siasa hizo! Sijui leo, lakini namtakia kila la heri!

Daaaah! Amepeta, Hongera nyingi kwake!
 
Nani kakwambia ukipata div 0 mwisho wa maisha
hongera dada yangu big up umetoka mbali acha mema ya nchi uyatafune hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom