Elections 2010 Shy-Rose Bhanji ..na mtazamo wake huko Igunga

moja ya wapinzani wakubwa juu ya maoni ya SHYROSE BHANJI MOJA WAPO NI CYPRIAN MUSIBA INGIENI KWENYE WALL YAKE FACEBOOK,ALIVYOMSHAMBULIA SHYROSE BHANJI>
 
Vipi huyo ameacha hile biashara ya kununua vijana na kuwatumikisha visivyo..?kweli magamba hamnazo alakini wanao wasaport ndio hamnazo kabisa,inaelekea hao mashabiki nao wanapenda upumbavu wanaofanya hao viongozi wao
 
Kumfuata mtu kwenye facebook yake ni sawa na kumfuata kwenye genge au kijiwe chochote hapa mjini ambako anaweza kutamka chochote kwa sababu it is more or less to private and non commital forum zaidi ya zile zinazokamatwa na wikileaks.
 
Nyie kila anayewakosoa ana chuki hamtapata independent thinkers mtaendelea kubaki na mizee kina Msekwa milele huku chama kikiwafia mnakiona.
Ni chama kipi Tanzania kinastahimili kukosolewa? Kukosoana kulishakufa tangu enzi Mwalimu alipoacha Urais na uongozi wa CCM.
 
Vipi huyo ameacha hile biashara ya kununua vijana na kuwatumikisha visivyo..?kweli magamba hamnazo alakini wanao wasaport ndio hamnazo kabisa,inaelekea hao mashabiki nao wanapenda upumbavu wanaofanya hao viongozi wao
Acheni ushamba, hata leo kuna nepi za Obama '08,nguo za watoto, T-shirts za saizi zote, badges etc...
Kuna mambo ya muhimu watanzania tuwe tunajulishana na jadiliana.
my_mama_is_votin_for_obama_kids_tees_tshirt-p235256573023748545zvju3_380.jpg
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.

Matusi yako yanaonyesha ulivyo kuwa punguani...kwani uwezi kuchangia hoja hapa JF bila kutukana? Tatizo kuna member wana-join sasa akili zao za kufikiri ni za chini mno....
 
Matusi yako yanaonyesha ulivyo kuwa punguani...kwani uwezi kuchangia hoja hapa JF bila kutukana? Tatizo kuna member wana-join sasa akili zao za kufikiri ni za chini mno....

Yaani!they need JF 101 maana mwingine anatoa hoja nzuri anamaliza na tusi! Mpaka inakera
 
Kitendo cha kutambua udhaifu yako na njia mojawapo ya kuukabili huo udhaifu, Shy-Rose yuko kwenye njia sahihi,,,, Shime wana-CCM wengine itambueni busara iliyomo kwenye hiyo kauli ya Shy-Rose na muifanyie kazi!!
 
moja ya wapinzani wakubwa juu ya maoni ya SHYROSE BHANJI MOJA WAPO NI CYPRIAN MUSIBA INGIENI KWENYE WALL YAKE FACEBOOK,ALIVYOMSHAMBULIA SHYROSE BHANJI>

huyu musiba anatumia tumbo kufikiri.
 
Big up shy-rose kwa kufunguka macho..magamba hawana jipya..kama walikuwa wanawatendea wananchi wa igunga mambo mema ilikuwa hakuna haja ya kuwapeleka viongozi wao wote huko igunga kupiga kampeni..naomba wapinzani wachukue jimbo hilo.
 
1.Ana chuk na jk baada ya kupgwa chn kwny kura za maoni na kutoswa ubunge wa kuteuliwa na hata ukuu wa wilaya
2.Anatafuta umaarufu zaid ya aliokuwa nao
3.Anatafuta njia ya kuingilia chadema
4.kapewa mambo na sugu bac kachanganykiwa kabsa..na ana2miwa na sugu kuichafua CCM
j2 zma kutoka na vtoto vdogo aibuu..ovyoo
 
Dada shy-rose kiukweli hastahili kuwa CCM, anajilazimisha tu.Anaweza kuwa mwanasiasa mzuri kwa jamii hata akiwa nje ya CCM,Only that hajiamini

Huyu si ndie yule mwaka jana wakati wa kutafuta kuteuliwa na CCM Kinondoni alifikia hata kurusha makonde kwa wenzake?! sio siri, hastahili kuwa kwenye chama wasicho na utaratibu wa kurushiana makonde; labda kule ambako mgombea anatwanga wapiga kura au kule ambako mbunge anaomba ufungwe mlango ili wachapane makonde!!
 
Matusi yako yanaonyesha ulivyo kuwa punguani...kwani uwezi kuchangia hoja hapa JF bila kutukana? Tatizo kuna member wana-join sasa akili zao za kufikiri ni za chini mno....

Unamuasa mchangiaji kutotukana/kutokutumia lugha zisizo za kiungwana na wewe unafanya hicho hicho unachokikemea!!!
 
Back
Top Bottom