Elections 2010 Shy-Rose Bhanji ..na mtazamo wake huko Igunga

Mimi ni chadema lakini huyu dada kwa tabia yake hii hawezi kuwa a good political material hata akiwa upande wetu. Yeye yuko ccm kwa sasa na ana kila wajibu wa kukisaidia chama chake kifanye vizuri. Hata kama kuna mambo ambayo hayapendi kwenye chama chake lakini siyo busara kucriticize chama chake publically kama anavyofanya facebook. Kwani amekosa forums zingine ndani ya chama kukikosoa chama chake? Hawa watu wa design hii hawafai chama chochote cha siasa....na kama chadema tuko makini....hatupaswi kuwakaribisha watu kama hawa.
Huwezi kutambuka kwa kusema wewe chama fulani unachotakiwa wewe ongelea issue tukuelewe.
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.

Mtu yeyote makini na anaeipenda nchi yake hatopenda chama anachokipenda kichaguliwe kama hakina uwezo wa kuongoza nchi na kimeprove without any doubt kushindwa kuongoza nchi na kuiletea maendeleo kwa nusu karne.
 
Kukosolewa si tatizo na ccm inakaribisha maoni ila kupokea maoni ya shy ni sawa na kupokea maoni ya mtoto wa kindagateni.lakini kama si mnafiki si aende igunga atoe mbinu za ushindi kwa viongozi wake wa ccm kama yy ni mwana ccm kweli?.huyu dada alidhan kuwa kamanda wa uvccm tayari amepata ubunge na nawapongeza wana k'ndon kwa kufanya rational decision ya kumtosa kwa aibu.namuona sana fb(chadema vs ccm) akitafuta umaarufu wa kijinga kwa kumwaga upupu.hivyo vihela alivyoiba dar city water vinamchanganya akili.
 
Huyu mwanamke anataka ubunge viti maalum tu hana lolote ngoja aende Chadema kule wanatumia formula ya Dr Kitila Mkumbo kuwapata viti maalum ambayo formula hiyo imeelekezwa mkoa wa Kilimanajaro zaidi! Akikosa Viti maalum Chadema ataenda NCCR akitoka NCCR ataenda CUF atamtega Kijana wetu Mtatiro ampe tundi na baadae akikosa CUF atarudi tena Chadema kwa Mr II au Sugu ampe tena tundi na baada atakuwa frastulated! Na ata taka tena amrudie Lowassa CCM ampe tena Tundi! Kazi kweli kweli!
 
Mimi ni chadema lakini huyu dada kwa tabia yake hii hawezi kuwa a good political material hata akiwa upande wetu. Yeye yuko ccm kwa sasa na ana kila wajibu wa kukisaidia chama chake kifanye vizuri. Hata kama kuna mambo ambayo hayapendi kwenye chama chake lakini siyo busara kucriticize chama chake publically kama anavyofanya facebook. Kwani amekosa forums zingine ndani ya chama kukikosoa chama chake? Hawa watu wa design hii hawafai chama chochote cha siasa....na kama chadema tuko makini....hatupaswi kuwakaribisha watu kama hawa.

Wale wale!!!
 
U said it all broda

Uhuru wa maoni haujalishi chama, ana uhuru wa kutoa yanayomkera
Kama Shibuda anavyo utumia uhuru huo

[/B]

Mtu yeyote makini na anaeipenda nchi yake hatopenda chama anachokipenda kichaguliwe kama hakina uwezo wa kuongoza nchi na kimeprove without any doubt kushindwa kuongoza nchi na kuiletea maendeleo kwa nusu karne.
Ni mpumbavu pekee anayekaa sehemu isiyomstahiki, vinginevyo ni mnafiki wa kukosa ubunge

Shayrose anabahati Magamba kwa sasa kunaangalau kaharufu ka demokrasia, anaachwa achafue magamba wenzake badala kuwa mmoja wao sababu tu alikosa ubunge(angepata asingethubutu kusema asemayo)
Angekuwa CDM midaa Tundu Lisu angekuwa kasha mlima barua siku nyingi
 
Mimi ni chadema lakini huyu dada kwa tabia yake hii hawezi kuwa a good political material hata akiwa upande wetu. Yeye yuko ccm kwa sasa na ana kila wajibu wa kukisaidia chama chake kifanye vizuri. Hata kama kuna mambo ambayo hayapendi kwenye chama chake lakini siyo busara kucriticize chama chake publically kama anavyofanya facebook. Kwani amekosa forums zingine ndani ya chama kukikosoa chama chake? Hawa watu wa design hii hawafai chama chochote cha siasa....na kama chadema tuko makini....hatupaswi kuwakaribisha watu kama hawa.

NI sawa mkuu, lakini mimi nachelea kuamini hivyo, nahisi atakuwa amekosa forum ndani ya chama. Kwamba wana migongano kiasi kwamba kuna makundi ya kutosha, sasa kundi lenye kula bata sasa hajawapatia nafasi, as a results she is frustrated to the extent she can not hold them any more...

Tuseme wazi kuna matatizo makubwa sana ndani ya CCM, hata huyo dada usidhani anaikosoa CCM kwa mazuri, ni mivutano tu ya kushika mkondo wenye maziwa!!!!
 
Mambo hayapo kama tunavyoyaona na yanavyojaribiwa kuelezwa!
Mda ndio mganga wa ukweli katika kila kitu!
Hivyo ukweli utabainika tu, kama ambavyo mengi yeshabainika!
Kwasasa tumuangale tu anavyoishia....
Sioni sababu ya mate kututoka kwa hasira!
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.

Muwe waungwana kwa kukubali ukweli wa huyo mdada wenu, hizo skafu zipo nyingi sana ofisi ya CCM Igunga na hakuna anayezipapatikia mpaka mmeamua kuwavisha watoto wa mtaani bado hali hiyo utaaiita ni nzuri?, watu wa Igunga ni maskini sana hata kwa nguo tu lakini safari hii kijani yenu inadorora pale nje je si dalili mbaya?
 
NI sawa mkuu, lakini mimi nachelea kuamini hivyo, nahisi atakuwa amekosa forum ndani ya chama. Kwamba wana migongano kiasi kwamba kuna makundi ya kutosha, sasa kundi lenye kula bata sasa hajawapatia nafasi, as a results she is frustrated to the extent she can not hold them any more...

Tuseme wazi kuna matatizo makubwa sana ndani ya CCM, hata huyo dada usidhani anaikosoa CCM kwa mazuri, ni mivutano tu ya kushika mkondo wenye maziwa!!!!

Umegonga penyewe kabisa mkuu. Kuhusu kukosa forum ndani ya chama inaweza ikawa kweli. Lakini simuoni huyu dada kama yupo genuine na criticism zake kwa manufaa yetu wapinzani tunaotaka hewa mpya katika uendeshaji wa serikali mbovu . Yeye kwanza ni mbunge tena ubunge wenyewe wa kupewa kupitia chama chake. Mtu genuine wa kukikosoa chama anapaswa kuwa nje ya system ya hicho chama. Hapo ataeleweka. Ni sawa na Nape. Mimi sikuwa namfahamu Nape na siijui historia yake kabisa na kwa kweli sikuwa na sababu yoyoye ya kumpenda au kutompenda. Lakini siku ya kwanza alipoingia kwenye rada zangu nikamsikia anatoa hotuba za kujivua magamba wale watu watatu waovu nikajua huyu nae siyo good political material. Wewe umevaa kijani; unakula hela za magamba; kiongozi wako wa juu kabisa amewekwa na magamba; bado anawatetea; unapata wapi moral authority ya kukemea magamba? Kama ambavyo hakuna sababu yoyote ya kisayansi ya kuridhisha kuwa Nape anaweza kutusaidia sisi wapinzani katika malengo yetu ya kuiondoa CCM madarakani ndivyo ambavyo huyu dada Shy asivyo na manufaa kwetu. Wote ni design moja...watu waliokosa mahesabu ya waseme nini kwa wakati gani na mahala gani kwa sababu ya chuki binafsi dhidi ya adui zao zisizo na malengo ya kumkomboa maskini wa kawaida mtanzania.
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.

Hizo ni hadithi za sungura 'sizitaki mbichi hizi'. Mwana chama bora ni yule ambaye yuko radhi kusema hata udhaifu wa chama chake. Mfano mwingine ni Bashe. Mnatakiwa mfahamu kuwa zile zama za kupiga makofi bila sababu zimepita, zama za 'zidumu fikra za mwenyekiti' hizo zimepita. Watanzania wa leo hata wa vijijini wanafikiri na kuhoji. Mwacheni dada wa watu atapike. Dada yetu yakikushinda njoo CDM, sisi tunakaribisha yeyote mwenye shauku ya ukombozi wa Taifa letu, ukiingia kisanii utaumbuka tu kama Shibuda.

Mungu ibariki Tanganyika
 
Umegonga penyewe kabisa mkuu. Kuhusu kukosa forum ndani ya chama inaweza ikawa kweli. Lakini simuoni huyu dada kama yupo genuine na criticism zake kwa manufaa yetu wapinzani tunaotaka hewa mpya katika uendeshaji wa serikali mbovu . Yeye kwanza ni mbunge tena ubunge wenyewe wa kupewa kupitia chama chake. Mtu genuine wa kukikosoa chama anapaswa kuwa nje ya system ya hicho chama. Hapo ataeleweka. Ni sawa na Nape. Mimi sikuwa namfahamu Nape na siijui historia yake kabisa na kwa kweli sikuwa na sababu yoyoye ya kumpenda au kutompenda. Lakini siku ya kwanza alipoingia kwenye rada zangu nikamsikia anatoa hotuba za kujivua magamba wale watu watatu waovu nikajua huyu nae siyo good political material. Wewe umevaa kijani; unakula hela za magamba; kiongozi wako wa juu kabisa amewekwa na magamba; bado anawatetea; unapata wapi moral authority ya kukemea magamba? Kama ambavyo hakuna sababu yoyote ya kisayansi ya kuridhisha kuwa Nape anaweza kutusaidia sisi wapinzani katika malengo yetu ya kuiondoa CCM madarakani ndivyo ambavyo huyu dada Shy asivyo na manufaa kwetu. Wote ni design moja...watu waliokosa mahesabu ya waseme nini kwa wakati gani na mahala gani kwa sababu ya chuki binafsi dhidi ya adui zao zisizo na malengo ya kumkomboa maskini wa kawaida mtanzania.

For the record mkuuu, dada huyu si mbunge!!!
 
Huyu dada tangu ameshindwa ktk kura za maoni k'ndoni.Amejenga chuki kali dhidi ya ccm.amekua na tabia za kinafikinafiki na nadhan anajiandaa kwenda upinzani.ila hata ile sifa ya uongozi hana,maadili sufuri.najua hata huko chadema mtamchoka kama shibuda kwa pupa ya kutaka uongozi na umaarufu wa kijinga.hawa ndio mamluki ndani ya ccm haiwezekani ukawa mwana ccm halafu ukaombea chama chako kushindwa.ila dawa yake iko jikoni hatuumizi kichwa msh..zi.
Twahil kwa kweli mimi napata shida kuamini kwa ufinyu wako wa mawazo kuwa hata hizi post unaandika mwenyewe kwa sababu mtu anayejua tu kuandika bila elimu ya ziada, can argue better than you!
 
Mie binafsi namponeza kwa juhudi zake za kuwa mkweli na kusimamia kile anacho amini,......sijaona kosa lake kama wengi mnavyomtuhumu,....kwani ni wachache wenye uwezo wa kusimama na kusema ukweli ndani ya chama cha mapinduzi,...!!! Na ikumbukwe si yeye pekee ndio ameanza kosoa chama hiki hadharani ,...turudi nyuma mbona mwalimu baba wa taifa amewahi kuyafanya haya na hakuoneka na waajabu,...bashe je,..mbona na yeye hamsemi,..kuna yule kada wa monduli na yeye vp?????

Ni ujinga kuendekeza kubebana na kusifiana wakati mwisho wa siku mnaanza kutafutana katika chaguzi,..ccm sio sikivu thats y watu wana anza funguka hadharani,.......swala la kusema ati amekuwa hivyo ama anafanya hayo yote sababu tuh alikosa ubunge ni hoja dhaifu,.......ni akina nani ambao wanafata utaratibu hasa vikao na wamekisaidia chama,..????? Hakuna hata mmoja matokeo yake chama hiki kila kukicha kinazidi kinazidi kujipotezea umarufu na kina pata wakati mgumu kukubalika,......

Penye ukweli tuambizane ukweli bila kupindisha na kutafuta mchawi nani,......!! Na mtu anayesema dada huyu hafai kuwa kiongozi ati hana moral hainingilii hakilini,.....marehemu amina chifupa alikuwaje,..maana wakati wa uteuzi wake watu wengi walibeza lakini kiukweli dada yule alifanya kazi nzuri alipoingia bungeni,.....kila mtu ana historia yake,....hata nyie mnao mpinga muna hitry zenu........mbona kina mwigulu nchemba wana kashifa za ngono huko igunga hamuoni ajabu na amekabidhiwa kuongoza jeshi la kampeni,.......to me personal life doent matter katika uongozi chamsingi ni jinsi gani mtu anauwezo wa kuongoza,......
 
u said it all broda

kama shibuda anavyo utumia uhuru huo

ni mpumbavu pekee anayekaa sehemu isiyomstahiki, vinginevyo ni mnafiki wa kukosa ubunge

shayrose anabahati magamba kwa sasa kunaangalau kaharufu ka demokrasia, anaachwa achafue magamba wenzake badala kuwa mmoja wao sababu tu alikosa ubunge(angepata asingethubutu kusema asemayo)
angekuwa cdm midaa tundu lisu angekuwa kasha mlima barua siku nyingi

mie napingana na nyie,.......kuhusu shibuda ,..yeye alipingana na sera za chama chake ambazo alitakiwa kusimamia kwa sababu ilani ya chadema ndio iliyompeleka bungeni,....kwahiyo kulimwa barua ni muhimu,...!!!!!

Dada huyu shy-rose banji sizani kama anampango wa kuhama chama kwani kama ni hivyo angekuwa kashahama siku nyingi,....anachokifanya yeye ni kuonesha anachukizwa na jinsi mambo yana vyopelekwa na kuendeshwa katika chama chake,...na kwa jinsi ninavyoona wapo wengi tuh hawapendezwi na mwenendo wa chama ila wanaongelea tumboni,..pia ikumbukwe yey si wa kwanza kukikosoa chama,..kuna bashe na yeye mtasema alikosa ubunge,.......??? Baba wa taifa naye amewahi kukikosoa mara kadhaa,...tunakumbuka kule musoma amewahi pigia nccr kula na akaitosa ccm,.......

Mie naona tupime amezungumza nn na kwa wakati gani,...je alichokisema kina ukweli wowote na masilahi kwa wengi amabao ni wanyonge,.......????? Laiti ccm isingekuwa na matatizo na chama sikivu ndipo tungeweza kumuhukumu kama munavyosema ,pia tuache ushabiki,......
 
Mie binafsi namponeza kwa juhudi zake za kuwa mkweli na kusimamia kile anacho amini,......sijaona kosa lake kama wengi mnavyomtuhumu,....kwani ni wachache wenye uwezo wa kusimama na kusema ukweli ndani ya chama cha mapinduzi,...!!! Na ikumbukwe si yeye pekee ndio ameanza kosoa chama hiki hadharani ,...turudi nyuma mbona mwalimu baba wa taifa amewahi kuyafanya haya na hakuoneka na waajabu,...bashe je,..mbona na yeye hamsemi,..kuna yule kada wa monduli na yeye vp?????

Suala sio kukosoa chama. Suala hapa ni je anakikosoa kwa namna gani na kwa misingi gani. Baba wa taifa alikuwa na priciples zake kwa jinsi alivyotaka chama kiendeshwe na kwa vile alikuwa na authority yote ya kukikosoa chama kama mwasisi wake, mlezi wake, mshauri wake na mwenyekiti wake pale alipoona hapa ilikuwa too much aliwaambia wazi wasipofata ushauri wake anarudisha kadi ya CCM. Hawa sasa kina bashe, bhanji na wengineo mimi nawashangaa nyie mnavyowapa too much weight kila neno wanaloongea kinyume na ccm. Sasa hivi ni zama za vyama vingi na kama wanaona kwa misimamo yao na ukweli CCM kinawaangusha kwa nini wasikihame? Wanatafuta umaarufu tu rahisi hao kwa migongo yetu kupitia media zao ili tuamini kwamba ah kumbe na ccm nako kuna vijana serious wanaotaka mabadiliko? Kimsingi wote hawa wanapiga kelele kwa sababu walichukizwa na ccm kufisadi maslahi yao. Bashe kumuita si raia wa tz na bhanji analo lake jambo. Kanuni rahisi ni hii: kwa mfumo wa sasa wa ccm uliojaa ufisadi wa kutisha lakini bado kuna kijana anayeendelea kubaki kada wa ccm halafu bado anajiwakilisha kama mtu anayechukia mwenendo wa chama chake akiwa ndani ya hicho chama huyo mtu ni mnafiki.
 
Back
Top Bottom