Shy rose asimikwa naibu kamanda kata ya kijitonyama

Maria Roza

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
6,797
1,567
shy.jpg

http://issamichuzi.blogspot.com/2010/03/shy-rose-bhanji-asimikiwa-naibu-kamanda.html#comments
 
Hivi, huu ukamanda unagaiwa kama pipi? Ni vigezo gani vinatumika? Au mtu ukiwa na kaumaruufu tu ndio unapewa?

Halafu wanamcommandeer nani haswa?
Kwa CCM ipi? Hii ya the Noughties? 2000-2010?
 
Hongera sana dada, kwani umejipiga promo sana na mambo yalli goma kila wakati , ni vizuri kuanzia hapo maana sas aukokaribu kabisa na watu muhimu , endeleza ndoto zako mama!
 
ndiyo ameshakuwa mkuu wa wilaya huyo kwa standard za Kikwete, na kwa sababu mweupe basi unaibu waziri au uwaziri haukosi, Ridhiwani yuko pembeni akimpa uhakika! LOL! Tanzania ina wenyewe!
 
Hivi, huu ukamanda unagaiwa kama pipi? Ni vigezo gani vinatumika? Au mtu ukiwa na kaumaruufu tu ndio unapewa?

Halafu wanamcommandeer nani haswa?
Kwa CCM ipi? Hii ya the Noughties? 2000-2010?

...Moja. Ujuwe kujikomba kwa wenye chama chao! Mbili....endeleeni.
 
Mbona wamesogeleana sana hawa? salama hapo!!

Chama siku hizi bwana nimeona majuzi eti na kina Michael Wambura aliekuwa kiongozi wa Simba ni kamanda!
 
Hivi, huu ukamanda unagaiwa kama pipi? Ni vigezo gani vinatumika? Au mtu ukiwa na kaumaruufu tu ndio unapewa?

Halafu wanamcommandeer nani haswa?
Kwa CCM ipi? Hii ya the Noughties? 2000-2010?
Uko ryt mkuu... hata mimi ningependa kufahamu vigezo kwa kweli........
 
Hivi haiwezekani mtu akajiandalia katafrija kama hivi alafu akaita mtu amsimike?
 
Hongera sana dada, kwani umejipiga promo sana na mambo yalli goma kila wakati , ni vizuri kuanzia hapo maana sas aukokaribu kabisa na watu muhimu , endeleza ndoto zako mama!

Atakaye hachoki akichoka jua keshapata.Hongera mdada.Endelea kidogo kidogo hadi ufike juu!
 
United Kingdom of TZ... Pamoja na wanaojikomba-komba... Tonny Kingunge Mwiru ndio Kamanda,Shy-Rose Msaidizi wake... KIGUUUMU CHAMA CHETU...
 
Wasiwasi wangu ni kwamba wataanza kula mahela yake ya NBC halafu watamla na yeye na huo ubunge ataukosa. sisiemu ina wenyewe bwana||
 
Back
Top Bottom