Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Banji akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mutindo Mutiso alipomtembelea Balozi huyo Ofisini kwake leo na kuzungumza mambo mbalimbali. Banji ameanza ziara maalum ya kuwatembelea Mabalozi wa nchi Wanachama wa Afrika Mashariki(EAC) waliopo Tanzania kabla ya kuapishwa rasmi kushika wadhifa huo mwezi ujao jijini Arusha yalipo makao Makuu ya EAC na Mhimili huo wa Serikali za EAC.
 
amekwisha apishwa,maana kazi ni mwakani anaanza au, ni kuvolunteer.mwambieni aanze kusoma protocols za eac,asifikiri ni mwongozo wa ccm wa 1977 ndo unatumika au kwenda kuaandaa press release ya bunge.
 
Dah! lakini bongo kweli tumechagua wanaojua kingereza wakati tunataka ndani ya EAC lugha kuu Kiswahili!
 
Sijaelewa nini hasa nia ya Shy-Rose kwenda kumtembelea balozi wa Kenya? Au mpango wake wa kutembelea mabalozi wa EAC members hapa nchini unaratibiwa na nani? Na kwa nini aende yeye peke yake na sio kundi lote la wabunge watanzania wa EALA?
 
Ndio matatizo ya kuchagua watu ambao hawajui kazi Yao ni Nini na ipi ni mipaka ya kazi yao. Kama Mbunge wa afrika mashariki anayewakilisha Tanzania watu wa kwanza kuwa na ni wananchi wa Tanzania, halafu waziri wetu ( Tanzania ) wa Afrika Mashariki kujiorient na nini kimefanyika, kimezungumzwa na kiko pending kwa upande wa Tanzania.

Baada ya hapo Anasazi kana na wizara husika kulinganisha alichosema waziri, matatizo ya wananchi wa Tanzania na aliyoyakuta kwenye wizara husika.

Hii ya kwenda kwa balozi ni kukurupuka, balozi aliyeenda kumuona ni mwakilishi wa Rais Kibaki maana ya sista hiyo ni kuwa kuna kitu alikuwa anataka kuuambia Rais Kibaki ikawa sio rahisi na hivyo kuamua kumuona balozi kumueleza ili balozi forward kwa Rais wake.
 
Kwangu mimi hii safari ni Diplomatic blunder na Foreign Affair wanatakiwa wawape somo wabunge wote. Sijui kama Shy- Rose anafahamu kwa sasa kiongozi/mbunge hawezi kufanya mazumzo (official capacity) na foreign entity bila ya kuitaarifu Foreign Affairs?
 
FJM,Huo ni ushauri wa bure kwa Bhanji.Mi namwona to much opportunist but not strategist na ndiyo maana halikuwa anapigwa tu kwenye uchaguzi wa nafasi za maslahi mazuri kwenye taifa.Anahitaji kupata proper aide otherwise, blundering ni kawaida yake.
 
Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

- Ndio maana tunsema kuwapa nafasi Vijana ili wafanye mambo tofauti na yale tuliyoyazoea, ni muhimu sana kuwajua the players wa sekta utakayoiwakilisha taifa letu, huyu Balozi amewahi kuwa mbunge wa Kenya kwenye EAc, so ana a lot of experience na EAC na pia ndivyo modern politics zinavyotaka, uwajue the players wa yopur area ya uwakilishi.

- I hope na wabunge wengine wa EAc watajifunza, saafi sana Mheshimiwa Shyrose, anakuwa ni mfano wa kuigwa hapa! NA MUNGU AMBARIKIE NA KUMTANGULIA KWENYE SAFARI YAKE HUKO ARUSHA KWENYE EAC!

RESPECT!

William.
 
Kwangu mimi hii safari ni Diplomatic blunder na Foreign Affair wanatakiwa wawape somo wabunge wote. Sijui kama Shy- Rose anafahamu kwa sasa kiongozi/mbunge hawezi kufanya mazumzo (official capacity) na foreign entity bila ya kuitaarifu Foreign Affairs?

- Wapi FACTS kama hakuwataarifu?

William.
 
....jafarai duuu!!! bongo bana mama kaona haendani na kijana!!
 
Ndio matatizo ya kuchagua watu ambao hawajui kazi Yao ni Nini na ipi ni mipaka ya kazi yao. Kama Mbunge wa afrika mashariki anayewakilisha Tanzania watu wa kwanza kuwa na ni wananchi wa Tanzania, halafu waziri wetu ( Tanzania ) wa Afrika Mashariki kujiorient na nini kimefanyika, kimezungumzwa na kiko pending kwa upande wa Tanzania.

Baada ya hapo Anasazi kana na wizara husika kulinganisha alichosema waziri, matatizo ya wananchi wa Tanzania na aliyoyakuta kwenye wizara husika.

Hii ya kwenda kwa balozi ni kukurupuka, balozi aliyeenda kumuona ni mwakilishi wa Rais Kibaki maana ya sista hiyo ni kuwa kuna kitu alikuwa anataka kuuambia Rais Kibaki ikawa sio rahisi na hivyo kuamua kumuona balozi kumueleza ili balozi forward kwa Rais wake.

- Inaitwa Courtesy Call kwenye uwanja wa Diplomasia, unless kuna kifungu cha Sheria ya Jamhuri amekivunja kwa nini usikiweke hapa tuache kuandikia mate!

- Wacheni kuwa kama Kitine, wivu wivu tu!

William.
 
Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

- Ndio maana tunsema kuwapa nafasi Vijana ili wafanye mambo tofauti na yale tuliyoyazoea, ni muhimu sana kuwajua the players wa sekta utakayoiwakilisha taifa letu, huyu Balozi amewahi kuwa mbunge wa Kenya kwenye EAc, so ana a lot of experience na EAC na pia ndivyo modern politics zinavyotaka, uwajue the players wa yopur area ya uwakilishi.

- I hope na wabunge wengine wa EAc watajifunza, saafi sana Mheshimiwa Shyrose, anakuwa ni mfano wa kuigwa hapa! NA MUNGU AMBARIKIE NA KUMTANGULIA KWENYE SAFARI YAKE HUKO ARUSHA KWENYE EAC!

RESPECT!

William.

Mutu,,,

Ndicho alichokwambia jana wakati mnakunywa chai Serena??

Unafahamu kwamba sisi tunacompete na hawa member wengine kwenye EAC??

Unaelewa nature ya competition yoyote ile??

Unaelewa tabia za wakenya??

Tulikushauri wakati unagombea ubunge EAC upite kule IF uone tabia za hawa watu, did you do that??

Nadhani kuna mengi sana ya kukufanya uwe smart kwenye career yako tofauti na kujipeleka kichwa kichwa kwa watu ambao unaenda kukutana nao kwenye floor!!

Nyie mnaotaka kuwa viongozi pigeni machimbuzi kwenye fani zenu husika si lazima kushinda unatafuta appointments na kuzurura kwenye maofisi ya washindani zetu na kujiexpose bila mpango!!

Acheni uvivu someni!!
 
Back
Top Bottom