Shule zimefungwa, mzazi/mlezi pita hapa tujadiliane kidogo

Hakuna mtihani hapo.. Mtihani chini ya kiwango kabisa.. Multiple choice ina abc tu ndio za kuchagua???
 
Tuwaombee sana watoto wetu! Na tuwashirikishe katika maombi na Mafundisho ya M/Mungu huku tukiwasisitizia kuishika sana elimu tuwapayo
 
Tuwaombee sana watoto wetu! Na tuwashirikishe katika maombi na Mafundisho ya M/Mungu huku tukiwasisitizia kuishika sana elimu tuwapayo
ni kweli...pia sisi kama wazazi,tuna wajibu wa kuwalea watoto wetu ktk misingi ya kiimani tangu wangali wadogo...ina faida sana.
 
Back
Top Bottom