John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
hawa wanawashwa sanaaa.. wameyamiss maji ya kuwasha na mabomu ya machozi...Gazeti la Mwananchi la leo, limemkariri Sheikh Kondo Juma akisema Alhamisi wiki ijayo, shule zote za Kiislamu, Dar, zitafungwa ili kuruhusu wanafunzi kwenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda na Ijumaa Waislam wataandamana kwenda Ikulu kushinikiza kuachiwa huru wenzao waliokamatwa.
Haya ndio tunayosema humu ndani, wanaharakati wa Kiislamu wanaona elimu si kitu cha maana. Huku ni kuwatia watoto ujinga, wakifeli wanatafuta mchawi. Tuone Wizara ya Elimu itatoa msimamo gani kwa shule hizo.