Shule za kata ndo zitaleta ukabila Tz

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Ni wakati wa serikali kufungua macho kuona jinsi shule za kata zitakavyoleta ukabili'mtu anazaliwa hapo anasoma toka chekechea, primary ,secondary' hapo kwenye kata anasoma na jamii ya aina moja kila siku hana wakati wa kubadili mazingira tunakoenda itatusumbua sana mchaga asome kwao mpemba asome hatujengi dhana ya kitaifa halafu ndo zinaongoza kufelisha kutokana na ukosefu wa walimu,vitabu,maabara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom