Shule yenye darasa la re-sitters kwa ajili ya form four

Tosha

Member
Aug 18, 2011
72
19
Wanajamvini naomba ushauri juu ya shule nzuri ya bweni ambayo inapokea na ina darasa la wanafunzi wanaorudia mitihani ya kidato cha nne kama watahiniwa wa kujitegemea(Private Candidate) au re-sitters!

Najua Jitegemee Secondary walikuwa na darasa kam hilo japo wao ni day halikadhalika Makongo Secondary,hata hivyo nimeangalia kwenye matokeo ya form four lakini sijaona matokeo yao ya Private Candidates katika shule hizi!

Naomba ushauri kama unaijua shule yenye walimu na mazingira mazuri ambayo ina darasa la re-sitters na kama ina kituo cha kufanyia mitihani na mwisho ikiwa ni ya bweni ni nzuri zaidi! Tafadhari naomba ushauri juu ya jambo hili!
 
Na kwa upande wa mikoani ni wapi naweza kupata shule za kuresit form four au kumpokea kwa ajili ya A level mwanafunzi mwenye div IV ambaye combination inakubali masomo mawili KL kwa pass za DC? Msaada tafadhali.
 
Morogoro kuna shule inaitwa Alfagem wanatoa hy service. Jaribu kuangalia kwanza matokeo yao ya PC ka utalidhishwa nayo.
 
hey jitegemee pc. K2o kna itwa Mgulani jkt. Na makongo pc. K2o kna itwa lugalo jwtz.. Hawa 2mii jna la shule kwa pc... Hostel zpo kwa pc bro worry out.. Jtegemee by my side pako frsh kwa o lvl include pc, whl makongo advance pako mzux zaid... Am out

asante sana kwa kunijuza inaonekana "soko" la darasa la re-sitters lipo kubwa lakini shule bado ni chache sana anyway inabidi kukubalinana na hali halisi!asante kwa ushauri
 
Wanajamvini naomba ushauri juu ya shule nzuri ya bweni ambayo inapokea na ina darasa la wanafunzi wanaorudia mitihani ya kidato cha nne kama watahiniwa wa kujitegemea(Private Candidate) au re-sitters!

Najua Jitegemee Secondary walikuwa na darasa kam hilo japo wao ni day halikadhalika Makongo Secondary,hata hivyo nimeangalia kwenye matokeo ya form four lakini sijaona matokeo yao ya Private Candidates katika shule hizi!

Naomba ushauri kama unaijua shule yenye walimu na mazingira mazuri ambayo ina darasa la re-sitters na kama ina kituo cha kufanyia mitihani na mwisho ikiwa ni ya bweni ni nzuri zaidi! Tafadhari naomba ushauri juu ya jambo hili!

kijana nenda hapo jitegemee kapige skul kwan now days wanayo mabweni kwa wanaorudia mitihani ila kaza buti broda...
 
Na kwa upande wa mikoani ni wapi naweza kupata shule za kuresit form four au kumpokea kwa ajili ya A level mwanafunzi mwenye div IV ambaye combination inakubali masomo mawili KL kwa pass za DC? Msaada tafadhali.

MOROGORO kuna shule inaitwa Alfgerm aka kwa pekupeku, boarding ni wasichana tu, iko makini ingawa majengo yake hayavutii. kuna masister wa kikatoliki inASEMEKANA wanaawaamsha wanafunzi saa 8 USIKU kukamua. pekupeku MWENYEWE ana wabana maticha wanafundisha si mchezo. Ila kama mwanao ni mayai usipeleke lazima akusumbue, mANAKE shule hiyo ni full discipline. Ila akibahatika kumaliza shule, hata kama hatafaulu anatoka amejifunza maisha hakusumbui tena. Pia Kusoma bible knowledge ni lazima, kama hutaki unasepa.
 
Nakuelekeza Itamba ss -ipo wilaya Makete- Iringa kiutawala lakini kimahusiano ipo Mbeya zaidi. Hudtma safi ni ya kanisa KKKT. Ni boarding reassiters na school candidates.so text HM 0753744136
 
Piga chuo 2 broda mambo ya kurudia yalishapita na wakati kama vp pga msuli.
 
Piga chuo 2 broda mambo ya kurudia yalishapita na wakati kama vp pga msuli.

Usiwe na mawazo mgando kama shibuda na mwigulu, koz kinachomata ni uwezo 2 basi, kama dogo ana uwezo na anajiamini mwache arudie na atatoka 2, pia kama we ulishindwa jua akili hazifanani.
 
kijana nenda hapo jitegemee kapige skul kwan now days wanayo mabweni kwa wanaorudia mitihani ila kaza buti broda...

Hivi ada yao pale bweni inaweza kuwa kiasi gani? Kuna dogo wangu ningependa aende pale ila mi niko mkoani. Mwenye kujua msaada tafadhali.
 
Hivi ada yao pale bweni inaweza kuwa kiasi gani? Kuna dogo wangu ningependa aende pale ila mi niko mkoani. Mwenye kujua msaada tafadhali.

1. Ada inatofautiana baina ya mwanafunzi mmoja na mwingine
2.Atayechukua masomo mengi atalipia kiasi kikubwa
3. mwanafunzi aliyepata credit mmoja tu atapaswa kurudia masomo manne au zaidi, wa credit mbili atapaswa kurudia msomo matatu au zidi na ambaye hana kabisa credit atapaswa kurudia masomo matano au ziadi aliyepata divison O atalazimika kuridia masomo saba au zaidi.
4.Somo moja kwa mwezi ni TShs 8000 so unapiga hesabu idadi ya masomo then unazidisha na miezi ya kusoma wastani ni kama 7 au 8 hivi
Gharama nyinginezo;
1.wanaosoma masomo ya sayansi watalipia Tshs 20,000 kwa kila somo moja kwa ajili ya madawa kwenye laboratory
2. Mchango wa maendeleo ya maktaba tshs 25,000
3.tests tshs 20,000
4.malipo ya kituo km mtu atafanyia hap Mgulani JKT
5.kwa watakaopenda kufanya real practical NECTA watalipia 20,000 kwa kila somo moja la sayansi
6. Fomu italipiwa Tshs 10,000
7. Gharama ya sare(shati,surauli/sketi,viatu,tai,socks,nembo na tshirts) ni 60,000
Kiasi chote cha fedha kinalipwa kwa MKUPUO MMOJA

Kila mwanafunzi atalazimika kushughulikia UANDIKISHAJI kwa ajili ya mtihani wa taifa YEYE MWENYEWE na kila atakaye fuata mpango huu wa re-sitters atalazimika KUTII sheria na kanuni zote za JITEGEMEE(JKT) shule ya sekondari

Maelezo yote hayo nimeyatoa katika fomu yao ya kujiunga na kikundi cha kurudia mithani ya kidato cha IV. Uniwie radhi katika fomu hakuna maelezo juu ya BWENI japo najua wana HOSTELI natumaini watakuja wengine kukujuza
 
1. Ada inatofatuiana baina ya mwanfunzi mmoja na mwingine
2.Atayechukua masomo mengin atalipia kiasi kikubwa
3. mwanafunzi aliyepata credit mmoja tu atapaswa kurudia masomo manne au zadi,credit mbili atapaswa kuruida msomo matatu au zidi na amabaye hana kabisa credit atapaswa kuridia masomo matano au ziadi aliyepata divison O atalazimika kuridia masomo saba au zaidi.
4.Somo moja kwa mwezi ni TShs 8000 so unapiga hesabu idadi ya masomo then unazidisha na miezi ya kusoma wastani ni kama 7 au 8 hivi
Gharama nyinginezo;
1.wanaosoma masomo ya sayansi watalipia Tshs 20,000 kwa kila somo moja kwa ajili ya madawa kwenye laboatory
2. Mchango wa maendeleo ya maktaba tshs 25,000
3.tests tshs 20,000
4.malipo ya kituo km mtu atafanyia hap Mgulani JKT
5.kwa watakaopeanda kufanya real practical NECTA watalipia 20,000 kwa kila somo moja la sayansi
6. Fomu italipiwa Tshs 10,000
7. Gharama ya sare(shati,surauli/sketi,viatu,tai,socks,nembo na tshirts) ni 60,000
Kiasi chote cha fedha kinalipwa kwa MKUPUO MMOJA

Kila mwanafunzi atalazimika kushughulikia UANDIKISHAJI kwa ajili ya mtihani wa taifa YEYE MWENYEWE na kila atakaye fuata mpango huu wa re-sitters atalazimika KUTII sheria na kanuni zote za JITEGEMEE(JKT) shule ya sekondari

Maelezo yote hayo nimeyatoa katika fomu yao ya kujiunga na kikundi cha kurudia mithani ya kidato cha IV

Shukrani mkuu. Gharama za hostel hazijahusishwa au sijaelewa vizuri?
 
Kuna KIMASEKI SECONDARY SCHOOL , Arusha. ina hostel kwa wasichana tuu.
Kuna MAJENGO HIGH SCHOOL , Moshi. ina hostel.
Kuna Enaboishu high schoo l, Arusha, boarding.
Kuna Arusha Meru Secondary school, arusha, ni day.
 
Back
Top Bottom