Shule ya vichaa

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Mwalimu mmoja wa shule ya vichaa aliandaa practical kwa ajili ya wanafunzi wake(vichaa). Practical yenyewe ilimtaka kila kichaa aigize tendo lolote ambalo huwa anafanya kuku katika maisha ya kila siku. Wanafunzi wengine walianza kuwika,wengine kuparua mchanga nakadhalika, isipokuwa chizi mmoja akabaki amechuchumaa bila kufanya tendo lolote. Basi mwl alihisi chizi huyo ameshapona uchizi, akamsogelea kisha akamuuliza "wewe mbona hufanyi kama wenzako?" yule chizi akamjibu kwa kujiamini "wewe mwl mpumbavu nini, ina maana huoni kwamba mimi NATAGA?" ama kweli kufundisha vichaa needs a heart.
 
duh mbaya zaidi baada ya muda hata vichaa wenzake walishindwa kukaa hapo baada ya arufu mbaya ya yai.
kumbe jamaa alikuwa amepupu
 
OK. Huyo chizi aliyekaa kimya nilifikiri angemwambia Mwl. hivi: Mwalimu mimi mtetea nasubiri jogoo aje.
 
Mwalimu mmoja wa shule ya vichaa aliandaa practical kwa ajili ya wanafunzi wake(vichaa). Practical yenyewe ilimtaka kila kichaa aigize tendo lolote ambalo huwa anafanya kuku katika maisha ya kila siku. Wanafunzi wengine walianza kuwika,wengine kuparua mchanga nakadhalika, isipokuwa chizi mmoja akabaki amechuchumaa bila kufanya tendo lolote. Basi mwl alihisi chizi huyo ameshapona uchizi, akamsogelea kisha akamuuliza "wewe mbona hufanyi kama wenzako?" yule chizi akamjibu kwa kujiamini "wewe mwl mpumbavu nini, ina maana huoni kwamba mimi NATAGA?" ama kweli kufundisha vichaa needs a heart.
.
Nimecheka sana! Mwl mwingne wa vichaa alichora alama ya mlango ukutani akawaambia wanafunzi wake: "Tokeni nje kwa kupitia ule mlango". Wale machizi wakaanza kugombaniana pale ukutani (penye alama ya mlango) isipokua mmoja hakwenda. Mwl wake akajua labda amepona, akamfata na kumuuliza: "Mbona hutoki? Au unataka kubaki humu ndani mwenyewe?" Chiz akajib: "Nashangaa sana wanakimbilia pale mlangoni wakati mimi ndo nimeufunga na funguo ninayo hapa".
Waveja sana..
 
Back
Top Bottom