Shule ya sekondari St Marry's Mazinde Juu- sehemu ya majengo yake!!!

hongera sana kwao.......mazingira tulivu ya kusoma hayo.....
 
kwenye shule ya hivyo unapigia hesabu za madawati..... hahahah
 
Ingekuwa vipi shule zetu za kata zingekuwa na mijengo kama hii!!!? Nafikiri pia hata nia ya kununua madawati ingekuwepo!!!

attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php

Ipo mkoa gani?
 
Back
Top Bottom