Shule ya sekondari St Marry's Mazinde Juu- sehemu ya majengo yake!!!

HOYANGA

Senior Member
Jun 9, 2011
187
26
Ingekuwa vipi shule zetu za kata zingekuwa na mijengo kama hii!!!? Nafikiri pia hata nia ya kununua madawati ingekuwepo!!!

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • mazinde2.JPG
    mazinde2.JPG
    42.4 KB · Views: 2,368
  • mazinde5.JPG
    mazinde5.JPG
    51.9 KB · Views: 2,359
  • mazinde 1.JPG
    mazinde 1.JPG
    36.9 KB · Views: 2,381
  • mazinde 4.JPG
    mazinde 4.JPG
    33 KB · Views: 2,366
  • mazinde 6.JPG
    mazinde 6.JPG
    44 KB · Views: 2,382
  • mazinde 7.JPG
    mazinde 7.JPG
    27.8 KB · Views: 2,379
  • mazinde 8.JPG
    mazinde 8.JPG
    43.6 KB · Views: 2,368
  • mazinde 9.JPG
    mazinde 9.JPG
    39.3 KB · Views: 2,422
  • mazinde3.JPG
    mazinde3.JPG
    35.8 KB · Views: 2,407
Oshie onga? Hzo ndizo salam ukifka mazinde! Ongera kwa kuadvertise kama sio muhusika waambie wakupe hata kavocha!
 
Moshie tiwedi iwe....hahahaaaaa umekumbusha enzi zangu hapo chini msituni hapo tunawasubiri wakienda Oaklands lazima utupe neno bana, wakati huo nasoma Magamba Boys sio magamba ya CCM...ilikua boys ya ukweli now Sebastian Kolowa University College...tumekula sana mapeasi........
 
<br />
<br />
Mkuu kumbe na wewe ni gambian boy?!nilikuwa siwapendi kabisa,enzi hzo nipo mazinde
 
]oshie onga?[/u] hzo ndizo salam ukifka mazinde! Ongera kwa kuadvertise kama sio muhusika waambie wakupe hata kavocha!
asante sana kwa mawazo yako!!! Heshimu user name yangu wewe!!!!!!!!!
 
Hapa ni lazima mabinti wafaulu tu. Mazingira yanavutia. Chonde wachomaji moto msijongee pale Mungu atawachoma nyie kwanza. Big up Roman Catholic sisters.
 
Kuna majengo flani hapo Dar Yanaitwa WIZARA YA ELIMU ukitaka takwimu za mitihani yote hata ya miaka kumi iliopita utapewa.

Lkn TAKWIMU ZA MAPADRI KULAWITI WATOTO ZIMEJAA KILA KONA.
BBC tu peke yake INA TAKWIMU NYINGI MNO.

Na UMOJA WA MATAIFA zimejaa makabati mengi tu.

We Google tu, utawaona WAFUASI WA YESU wanavyo najisi na kulawiti WATOTO WADOGO WA KIUME NDANI YA MAKANISA , utafkiri yesu aliwaambia hio pia ni IBADA.

Mkuu yani inamaana wewe hujivunii shule zenu....Sisi tunajivunia shule zetu ndo maana unaona tunaweka picha na matokeo ya mitihani...

Mkuu hebu google bana utupe picha na matokeo.....Dahhh....Jivunie dini ya Allah...
 
hivi feza boyz na girs ni za watu wa dini gani?
 
Back
Top Bottom