shule ya secondary biafra ilioko dar...sasa hivi imekuwa tawi la open university

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,181
3,547
kwa wale mnaoifahamu.....shule ya secondary ya biafra ilioko kinondoni.......kwa sasa sio tena shule.....secondary bali imekuwa tawi la open university na majengo yake yote yamepakwa rangi za open university of tanzania...

sasa ndugu zangu mliosoma pale ambao bado hamkufatilia vyeti vyenu...vya shule kwenda kuchukua inabidi mfatilie ni wapi....mtapata vyeti vyenu.......maana shule yenu tayali haifahamiki ilipo.....
 
ni maaendeleo kwa shule kuwa chuo! kuliko wangefunga shule na kujenga bar au guest house
 
palikuwa na mgogoro mkubwa wa wamiliki japo ulienda kimya kimya sana tetesi Zinadai kuwa open university wana mkono katika huo mgogoro
 
kwa wale mnaoifahamu.....shule ya secondary ya biafra ilioko kinondoni.......kwa sasa sio tena shule.....secondary bali imekuwa tawi la open university na majengo yake yote yamepakwa rangi za open university of tanzania...

sasa ndugu zangu mliosoma pale ambao bado hamkufatilia vyeti vyenu...vya shule kwenda kuchukua inabidi mfatilie ni wapi....mtapata vyeti vyenu.......maana shule yenu tayali haifahamiki ilipo.....
Leo ni ijumaa si waandamane ili kudai shule yao ifunguliwe?kaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!Karibuni kwa Yesu ful shangwe!
 
Bwa hahahaaaa... Hapo hutowaona hata siku moja.. Wewe ukitaka kuwaona nenda kazike maiti ya mtu yoyote kwenye makaburi yao hata kama ni wa dini yao then waambie hili kaburi ni la kafiri . watalifukua apo apo
 
Leo ni ijumaa si waandamane ili kudai shule yao ifunguliwe?kaaaaaaaaaaaazi kwelikweli!Karibuni kwa Yesu ful shangwe!
Acha udini, haikuwa kama unavyofikiri, ilikuwa ya mnaijeria kutokana na madeni ikafilisiwa, toa boriti kwenye jicho lako ndo mafundisho ya Yesu.
 
Na wewe acha uongo! Shule ilikuwa inamilikiwa na mzee fulani anaitwa Samwel ni marehemu sasa, alikuwa na share na headmaster anaitwa Mr. Shambura, baada ya kufariki watoto wake wa kike wakaanza kumsumbua yule headmaster kuwa ni shule ya baba yao wakati share zinaonyesha wazi mgogoro ulienda mpaka wizara ya elimu na katibu mkuu wa kipindi hichi mwaka 2009 aliamuru Shambura apewe hisa zake na alipwe ila wale mabinti wakawa wanamsumbua sana! Mpaka sasa hajapata haki zake pamoja alitoa nguvu zake na utaalamu wake. Wale watoto ni walevi na shuleless wakaishia kuchukua ada za wanafunzi na kulewa na kuhonga vijana walio umri mdogo kuliko wao, at the end walikula mpaka ada za wanafunzi wa kidato cha nne ya mtihani wa national,ndipo wizara ikaweka probe na kuamua kuifunga kwa muda!

Sasa nadhani waliamua kuimalizia kabisa wale wajinga, shule ilanza kupata umaarufu wakaona hela ni za kubeba tu, headmaster akiwakataza wakamchukia na kumletea zengwe bila ya kufahamu kuwa alianza na ile shule toka wanatumia majengo ya primary ilikuwa kama shule ya upili.

Naifahamu hiyo shule maana I happened to be one of the mediator wa huo mgogoro, that mwalimu anahangaika kutafuta shule ingine kwa wale waliosoma Kinondoni Muslim miaka ya 90's mpaka early 2000's watakuwa wanamkumbuka, ni mkali sana wa mathematics and physics!
 
Biafra ni jina tu, halina uhusiano na udini na wala haikuwa ya kidini.

Zamani ile shule walikuwa wanatumia madarasa ya kinondoni primary pale ilipo Kambangwa second karibu na mahakama ya wilaya kndon.

Nina mtoto wa kaka yangu naye alisoma pale na alikuwa mhanga wa kuliwa ada ya kufanya pepa ya national form six.

Hii ndiyo Tanzania yetu and nobody seems to care especially ukitaka haki hakuna aliyetayari kukutendea haki. Sijui baada ya miaka kumi hii nchi itakuwaje, wacha nizichange nihamie japo Nairobbery!
 
Na wewe acha uongo! Shule ilikuwa inamilikiwa na mzee fulani anaitwa Samwel ni marehemu sasa, alikuwa na share na headmaster anaitwa Mr. Shambura, baada ya kufariki watoto wake wa kike wakaanza kumsumbua yule headmaster kuwa ni shule ya baba yao wakati share zinaonyesha wazi mgogoro ulienda mpaka wizara ya elimu na katibu mkuu wa kipindi hichi mwaka 2009 aliamuru Shambura apewe hisa zake na alipwe ila wale mabinti wakawa wanamsumbua sana! Mpaka sasa hajapata haki zake pamoja alitoa nguvu zake na utaalamu wake. Wale watoto ni walevi na shuleless wakaishia kuchukua ada za wanafunzi na kulewa na kuhonga vijana walio umri mdogo kuliko wao, at the end walikula mpaka ada za wanafunzi wa kidato cha nne ya mtihani wa national,ndipo wizara ikaweka probe na kuamua kuifunga kwa muda!

Sasa nadhani waliamua kuimalizia kabisa wale wajinga, shule ilanza kupata umaarufu wakaona hela ni za kubeba tu, headmaster akiwakataza wakamchukia na kumletea zengwe bila ya kufahamu kuwa alianza na ile shule toka wanatumia majengo ya primary ilikuwa kama shule ya upili.

Naifahamu hiyo shule maana I happened to be one of the mediator wa huo mgogoro, that mwalimu anahangaika kutafuta shule ingine kwa wale waliosoma Kinondoni Muslim miaka ya 90's mpaka early 2000's watakuwa wanamkumbuka, ni mkali sana wa mathematics and physics!

Stands to be corrected thanx mkuu, my main point ilikuwa ishu ya kuingiza dini na ukabila kwenye kila kitu, je tutafika?
 
Hiyo shule mmiliki wake alikuwa mzee Samweli Mwaliweuli na mke wake ambao wote ni marehemu. Mzee samweli alikubaliana na Mathew Shambula kuwa yeye atakuwa headmaster na atakuwa anapata 10percent ya faida baada ya kukata kodi na walisainiana mkataba. Mkataba wa Shambula ulikuwa waziwazi ila alichokikosea ni kutengeza document fake pale brela huku akisaidiwa na aliyekuwa kamishna mkuu wa elimu.

Kilichotekea ni kuwa wale watoto walipata obstacles especially kutoka wizarani na hivyo kushindwa kuperfom vizuri na hivyo kupelekea shule kuwa na madeni mengi. Kabla ya open university alipewa mtu anayeitwa Dotto na kampuni yake iitwayo Decorum huyo ndiye aliyeifilisi shule na agent wa open university
 
Back
Top Bottom