Shule ya NIMROD MKONO

Having obtained funds from Japanese Counterparts, the college’s Board of Directors has advertised a tender at the end of January 2005 for the proposed construction of the first hostel block which comprises of 52 self-contained rooms, common rooms and service areas. The tender is open to all interested Building Contractors from within and outside Tanzania to bid for this work. The construction work will be done in stages depending on the amount of funds flowing from well-wishers and sponsors.


*

Hon. Nimrod Mkono : the principal mobilizer and fund raiser of the projects
*

The villagers of Butiama
o

donated 100 Acres on which the University is to be located
*

The Government of the Republic of Tanzania
- donated 570 Acres (including the buildings on the plot) on which the University is to be constructed
*

Japanese Grant (Food Aid Counterpart Fund)
o

donated 150 million Tsh. to be used for the purpose of building a dormitory
Kuiita hii shule ya Mkono nadhani sio sahihi, kutokana na hiyo data kwenye website yenyewe inaonyesha hajatoa vijisenti vyake kwa ajili ya ujenzi.

Yeye ni ndo mpiga debe mkuu wa kuraise funds.
 
Degree yake ya sheria, its just a PASS na hakufanya masters lakini he is smart!.

He did master indeed, na wala hakusoma UD technically, amesoma university of East Africa, 1970. Na master alifanya UK. Nacheki where i saw that info the last time i checked, and i will provide an update on that.

peace
 
Last edited:
kwa kasi hii ya umikoa, na mimi itabidi nipeleke mashambulizi yangu kule Iringa, nijenge shule kama kumi hivi nzuri zaidi ya hizo, na nianzishe foundation ya kupeleka hata wale wasiyokuwa na ada shule bure. kwasababu naona hapa huwa kuna vivita vya chinichini vya kimakabila, mtu anapenda kuendeleza pale alipozaliwa tu ili na yeye watu wake waingie kwenye ubabe wa ajira selikalini. zamani walikuwa wachaga na wahaya, lakini sasa naona kila kabila linachangamka kivyake. natumaini itakuwa kwa nia nzuri tu, si kuanzisha umikoa na ukanda hapa.
 
majimbo sio mazuri, kwenda kwenye majimbo, hata upataji wa ajira utakwenda kimajimbo, tutajikuta tumekuwa wakenya aisee. majimbo ni ugawanyaji wa watu sana, hayafai. angalia Nigeria,,congo, south etc. majimbo ni noma mzee, tusiguse kabisa huko. hata chadema wakijua, hilo wazo wafute, ni nuksi sana. uchaguzi ujao waje na sera ingine, lakini sio hiyo.
 
yeye na balali wezi...kuna kesi jamaa was paid 15million dollar...nyingine 8mill... this guy jambazi...soo kujenga shule kwao kwa hela za wadanganyika and making it his sio ishu..
 
lakini bora anayejenga shule tz kuliko wale wanaojenga mahekalu ya majumba Switzerland, mahotel south africa na Dubai etc. wasemaje hapo?
 
nasema kuwa jamaa kaiba hela nyingi kuliko kagoda.. a total of over 20million dollars 40 billion.. madafu.. SHule hapo sikitu.. kama ma hekalu anayo ma 500s class benz, Range rover, mining in congo, investments dubai, Bank M nakina jeetu, he killed us..msimsifie!
 
...Huku kwetu FDA wanataka lazima u-screen PSA kwanza halafu ndio DRE, una uhakika kuwa PSA zikiwa kidogo/within normal ndio ugonjwa huo kama ulivyosema? Kwahiyo ulivyo fundishwa wewe unakurupuka tu kumfanyia mtu DRE bila kucheck PSA...

YournameisMINE,

Tubadilishane mawazo kidogo hukusu ulivyobeza hoja au shule ya p53 kabla hatujarudi kwenye shule ya Mkono.

Hatujui p53 anaongelea taratibu na mazingira ya utibabu ya sehemu gani ya dunia, hatuwezi kubeza alichosema kwa vile tu FDA ya Marekani wanataka taratibu tofauti. Tutakuwa limbukeni.

Na hata kama p53 yu Marekani nadhani tuwe waangalifu kusema FDA, chombo cha kutathmini ubora na usalama wa vyakula na madawa wanalazimisha taratibu fulani za utibabu kabla ya fulani. Tutakuwa wasiolewa FDA.

FDA si wanaopanga viwango vya elimu au taratibu za kumchagulia mganga mpango wa matibabu wa mgongwa.

Lakini hata kama wangekuwa wanapanga hizo taratibu nadhani si sahihi kusema wanalazimisha PSA ifanyike kabla ya DRE. Walichosema FDA wakati wakitangaza kupitisha matumizi ya uchunguzi wa PSA ni kwamba, kwa sababu PSA sio hitimisho, sio wa uhakika, basi ni lazima uendane na uchunguzi mwingine, ukiwemo DRE. Iwapo mganga ataamua kutumia uchunguzi wa DRE nadhani sio lazima afanye PSA kwanza.

Uchunguzi wa DRE hauko chini ya usimamizi wa FDA kwa sababu huu si dawa ama uchunguzi madhubuti wa kimaabara ulotatathminiwa na kupitishwa na FDA. Ni kitendo cha mganga kutafuta uvimbe kwa kukutia kidole kinyesini, au vidole, kutegemeana na ukubwa wa viungo vya mkunga ama mbano na upwayo wa unyuma wako.
FOR IMMEDIATE RELEASE P94-16
Food and Drug Administration

FDA APPROVES TEST FOR PROSTATE CANCER
The FDA today approved the first blood test to help detect prostate cancer in men 50 and older. The test, a prostate specific-antigen (PSA) blood test, was approved for use in conjunction with a digital rectal exam.

The PSA test by itself cannot be relied on to determine whether a man has prostate cancer. It must be used in conjunction with other diagnostic procedures, including digital rectal exam. Final diagnosis requires a biopsy.
 
Kwa kweli shule ni nzuri sana mimi nilifaanikiwa kuziona kwenye kituo kimoja cha television kwa kweli nampa hongera, shule zipo kijijini zina visima vya maji na umeme wasola, nyumba za mwalimu zenye kila kitu ndani unaenda na nguo zako tu, mpaka sufuria za kupikia pamoja na zahanati kwa kweli ni nzuri ziko mbili, moja kaipa kanisa nyingine kaipa serikali. Ila walimu hawapapendi kule eti kisa porini wanataka mijini
 
Mkono profile

Hon. Nimrod E. Mkono – Managing Partner
" Nimrod Mkono " is recognised by peers as one of the country's leading corporate lawyers"

Chambers Global, 2002-2003 edition

Specialisation: Hon. Nimrod Mkono is the founder and Managing Partner of Mkono & Co, which he has headed since 1977. The name Nimrod Mkono has come to be the mark of competence and efficiency in relation to legal work in Tanzania. His specialisations include company law, corporate finance, privatisation and corporate taxation. Hon. Mkono has handled numerous consortium arrangements and has been responsible for advising on a number of high profile acquisitions including the unbundling of and eventual privatisation of the National Bank of Commerce and the privatisation of Tanzania Telecommunications Company Limited, as well as acting for both the government and major corporations in international commercial litigation and arbitration.

Career:
Managing Partner, Mkono & Co since 1977
Member of Parliament, United Republic of Tanzania
Trustee, The Mwalimu Nyerere Foundation since 1996
Advocate, High Court of Zanzibar since 1993
Company secretary and legal advisor to Tanzania Development Finance Company Limited (TDFL), 1978 – 1981
Advocate, High Court of Tanzania since 1977
Resident Magistrate, Civil and Criminal Jurisdiction.

Qualifications:
Fellow, Institute of Chartered Secretaries & Administrators, F.C.I.S., UK, 1986
Associate, Institute of Chartered Secretaries & Administrators, A.C.I.S., UK, 1976
MA (Bus. Law), Council for National Academic Awards, City of London Polytechnic , UK, 1976
Chartered Secretaryship Final Examination (C.I.S.), South West London College, UK, 1975
LL.B, University of East Africa, University College of Dar es Salaam, Tanzania, 1970.
Languages:
 
The man is a theif.. Kujenga shule for 500million out of the tens of billions alizoiba si a joke! Anawatusi nasisi tulivyo mbuzi tunakaa kumsifia humu.. I'm sorry but this is BS!
 
Huyu Mh. Nimrod Mkono ni habari nyingine, hana maneno mengi. Yaani ni maneno mafupi na vitendo virefu. Akiwa M/K bodi ya mikopo, aliwahi kuikopesha bodi hiyo na kutoa mikopo ya asilimia 100 kwa wote.
Kitaaluma ni mwasheria kaajiri mabesti wa sheria mpaka wazungu.
Kiini cha utajiri ni ukaribu na serikali enzi za mwalimu. Ndiye aliyekuwa wakili wa mikataba yote ya serikali.
Alichuma sana alipokuwa wakili wa BOT, alitoza gharama kubwa sana na alizichelewesha baadhi ya kesi zisiishe nyingine mpaka leo ili aendelee kuvuta.
Shuleni UD hakuwa kichwa. Degree yake ya sheria, its just a PASS na hakufanya masters lakini he is smart!.

Mkono hajasoma UD!
School Name/Location
Course/Degree/Award Start Date End Date Level
City of London Polytechnic -UK MA. (Business Law) 1976 1976 MASTERS DEGREE
Southern West London College ACIS 1972 1975 ADV DIPLOMA
University of East Africa LLB 1967 1970 GRADUATE
Shinyanga Secondary School A-Level Education 1966 1966 HIGH SCHOOL
Tabora Boys' Secondary School A-Level Education 1965 1965 HIGH SCHOOL
Bugema Secondary School O-Level Education 1960 1964 SECONDARY
 
Huyu Mh. Nimrod Mkono ni habari nyingine, hana maneno mengi. Yaani ni maneno mafupi na vitendo virefu. Akiwa M/K bodi ya mikopo, aliwahi kuikopesha bodi hiyo na kutoa mikopo ya asilimia 100 kwa wote.
Kitaaluma ni mwasheria kaajiri mabesti wa sheria mpaka wazungu.
Kiini cha utajiri ni ukaribu na serikali enzi za mwalimu. Ndiye aliyekuwa wakili wa mikataba yote ya serikali.
Alichuma sana alipokuwa wakili wa BOT, alitoza gharama kubwa sana na alizichelewesha baadhi ya kesi zisiishe nyingine mpaka leo ili aendelee kuvuta.
Shuleni UD hakuwa kichwa. Degree yake ya sheria, its just a PASS na hakufanya masters lakini he is smart!.

Mkono hajasoma UD/Tz !

School Name/Location
Course/Degree/Award Start Date End Date Level
City of London Polytechnic -UK MA. (Business Law) 1976 1976 MASTERS DEGREE
Southern West London College ACIS 1972 1975 ADV DIPLOMA
University of East Africa LLB 1967 1970 GRADUATE
Shinyanga Secondary School A-Level Education 1966 1966 HIGH SCHOOL
Tabora Boys' Secondary School A-Level Education 1965 1965 HIGH SCHOOL
Bugema Secondary School O-Level Education 1960 1964 SECONDARY
 
Nitakutumia PM maana naona wavimba macho wameshaanza.......

Mtaalam wetu wa ujasusi unakimbiza mjadala kwenye PM?

Na ukiingia mitini kwenye PM usitangaze, unaji expose the hoja is so tenuous huwezi kuiweka hadharani!

Ni kama Mwakyembe kwenye press conference alijibu swali moja eti tukutane pembeni. Mwandishi akamtoa nishai, sema hapa hapa, pembeni kwa nini?

Mtakimbilia sana kwenye PM.
 
Naona ni jambo la busara alilofanya mzalendo Nimrod. Lakini kuna hoja ningependa kueleweshwa. Hivi tuna matatizo gani katika uendelezaji na uboreshaji wa mashule.

Mashule mengi yanaanza vizuri lakini baadaye vitu vitaharibika bila kufanyiwa matengenezo. Vyoo watu watasahau kutumia.

Katika hizo nyumba za walimu, stoo zitabadilishwa kuwa mabanda wa kuku.
 
Prof. Google,

Tatizo lako una shindana hata kama watu hawataki kushindana na wewe....unacheza "gotcha" hata pale ambapo huna dataz na ndio maana uliingia matatizoni kwenye stori ya Masau, Thabeet na hii ya kansa hapa unabisha wakati kumbe unakubali hahahahaha...kaaazi kweli!! Asante sana kwa ile copy and paste yako, kwani ilitoa "authority" kwa kile nilichobandika.....LOL.

Kule kwetu tungesema, "umegeuka sangara....." hahahaha neema tu, hakuna haja ya kununua "ka-bombonya" ka mafuta ya pamba kumkaanga! LOL

Ebana itabidi uni-fedex-ie hiyo kamusi yako babu maana misamiati yako inaniacha solemba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom