Shule ya msingi Kambarage wilayani Serengeti yafungwa kwa kukosa choo

Mwl Ryoba

Member
Oct 28, 2011
55
31
shule ya msingi kambarage ilyopo wilayani serengeti ina miezi mitatu tangu ifungwe eti kwa sababu halimashauri haina milioni tano.Hii ni aibu ya miaka hamsini ya uhuru.
Mwenge wa uhuru unatumia mamilioni ya shilingi kuwamulikia mafisadi lakini za kujenga choo zinakosa.
Watoto wamesimamishwa masomo na muda hausubiri lini mitaala itaisha?
 
Kwa mara ya kwanza naomba nimnukuu Nyani Ngabu " MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO"
 
Ila watanzania wanatakiwa wabadilike,naamini hiyo sehemu kuna mbunge na naamini,2015 ipo na naamini atapewa jimbo tena,sasa tuwasaidieje?kuona mabadiliko hutaki hata kufikili mabadiliko huwezi?miaka 50 ya uhuru shule inakosa choo,mi naamini miaka 50 uhuru kungekuwa tunazungumzia shule za msingi kukosa computer na vitu vinavyofanana na maendeleo
 
shule ya msingi kambarage ilyopo wilayani serengeti ina miezi mitatu tangu ifungwe eti kwa sababu halimashauri haina milioni tano.Hii ni aibu ya miaka hamsini ya uhuru.
Mwenge wa uhuru unatumia mamilioni ya shilingi kuwamulikia mafisadi lakini za kujenga choo zinakosa.
Watoto wamesimamishwa masomo na muda hausubiri lini mitaala itaisha?

Wamethubutu, wameweza na sasa wanasonga mbele.

Btw, mbunge wa serengeti ana taarifa ya shule hiyo kufungwa kwa sababu ya kukosa vyoo? Bila shaka fedha za CDCF hapa ndipo mahali pake haswaa.

Je diwani wa eneo husika amefanya juhudi gani kuhakikisha halmashauri inatoa fedha za ujenzi wa vyoo?

Je wananchi kwa ujumla wao wamechukua hatua gani kuona kwamba vyoo vinajengwa ili watoto wao waendelee na masomo?
 
Back
Top Bottom