Shule ngumu jamani kha!!

mkuu mimi cio mtoto tena ningekuwa kijijini sasa hivi ningekuwa karibu na watoto watatu
we mtoto bana!au kwa vile una uwezo wa ku-pees?mbona ku-pees ishu ndogo tu hata panzi anaweza?

wewe mwaka 91 uko chekechea?we mtoto bana
 
we mtoto bana!au kwa vile una uwezo wa ku-pees?mbona ku-pees ishu ndogo tu hata panzi anaweza?

wewe mwaka 91 uko chekechea?we mtoto bana
mkuu umri cio tatizo bana tatizo ni vyeti ambavyo si feki
 
Safari ya kusoma siku hizi imekuwa rahisi sana, enzi zile za Juma na Roza na Kibanga ampiga mkoloni. Wakati huo Calculator haziruhusiwi, tulikuwa tunatumia "FOUR FIGURE" kwenye kufanyia calculations zote, Physics, Chemistry, Biology, Mathematics na masomo yote ya kukokotoa na kudadavua kwa kutumia tarakimu. Hapo ndiyo shule ilikuwa ngumu.

Kwanza shule ni chake, halafu ipo KM10 toka nyumbani na unatakiwa kuwahi namba saa moja kasorobo asubuhi. Kiranja alikuwa anaruhusiwa kukutandika viboko na ukigoma akikushitaki kwa mwalimu unapata twice ya alitaka kukutandika kilanja.

Ukifika chuo kikuu, mambo ya semester yalikuwa hakuna ni "TERM" tatu kila moja ina University Examination at least tano na kila moja CA ya at least three tests na homework mbili. Ukikamatwa UE tatu au zaidi unasubiri Disco kwenye final display, watu walikuwa wana-disco kabla ya mwaka kuisha.

Mkuu kula TANO, umenikumbusha mbali sana, wakati huo hata form SIX, no Calculator, sasa wewe hebu fikiria li hesabu la kwenye mechanics ulifanye kwa Four Figure table! mwe! Sehemu zingine hata hizo FFT hazikuwepo, ilibidi tutumie SLIDE RULES, sijui kama vijana wa siku hizi wanazifahamu. Hizi ndio basis ya current(modern) Turing machines na Computers.
 
duh!! hii sasa kiboko .salute mkuu
 
ungeniambia BOKSI gumu/zito ningeelewa!:D
hapa ninapoongelea shule simaanishi tu yale mambo ya darasani namaanisha kila kitu kuanzia boksi halafu watu waliopo bongo wanajua we ushatoka mwingine anakuomba umtumie tiketi naye aibuke nadhani wakuu wengi mlioexperince mtakuwa mnanipata
 
hapa ninapoongelea shule simaanishi tu yale mambo ya darasani namaanisha kila kitu kuanzia boksi halafu watu waliopo bongo wanajua we ushatoka nadhani mwingine anakuomba umtumie tiketi naye aibuke nadhani wakuu wengi mlioexperince mtakuwa mnanipata

HAPO NIMEKUBALI!
tukaze buti mkuu wangu,au ni vipi?
 
jamani GT member hivi shule ni ngumu kwangu tu au hata nyinyi mnaondelea na mliomaliza ??
nilianza chekechea mwaka 1991...nikaendaaa darasa la saba nikaliua mwaka 1999..nikajiunga na form one boarding. sasa huku ndio nilikutana na mambo kwanza kuwaoshea vyombo form two (i mean form 2 hadi six.nadhani mliosoma boarding mnanipata haswa ila tukio ambayo sitayasahau ni siku ambayo niliwekewa kiatu kinachonuka mdomoni nikaambiwa nipige simu nyumbani huyu jamaa siwezi kumsahau.ila haya yote yalipita nikaingia form six boarding hapa maisha yalikuwa mazuri.story za chuo kikuu zikawa zinanipa hamasa ya kusoma nikajua kuwa maisha huko yatakuwa kama kumsukuma mlevi vile.nikafanikiwa kujiunga hehe .mambo si mambo tena .........................hadi kivuli kinakabwa huku. halafu kitu kingine watu wanajua ushatoka.sijui mambo gani mlikutana nayo wenzangu ktk hii safari...

Kama shule kwako ni ngumu, basi jaribu ujinga. Hakuna kwenye urahisi bwana. Huo ugumu unaouona wewe wenzako wanautafuta. Piga shule bwana mdogo, acha siasa.
 
Shule ni ngumu lakini hata maisha ni magumu, ukubwa ndio hivyo umeanza sasa badala ya kukwazika ifanye iwe chasllenge ya maisha yako ya baadae.
 
jamani GT member hivi shule ni ngumu kwangu tu au hata nyinyi mnaondelea na mliomaliza ??
nilianza chekechea mwaka 1991...nikaendaaa darasa la saba nikaliua mwaka 1999..nikajiunga na form one boarding. sasa huku ndio nilikutana na mambo kwanza kuwaoshea vyombo form two (i mean form 2 hadi six.nadhani mliosoma boarding mnanipata haswa ila tukio ambayo sitayasahau ni siku ambayo niliwekewa kiatu kinachonuka mdomoni nikaambiwa nipige simu nyumbani huyu jamaa siwezi kumsahau.ila haya yote yalipita nikaingia form six boarding hapa maisha yalikuwa mazuri.story za chuo kikuu zikawa zinanipa hamasa ya kusoma nikajua kuwa maisha huko yatakuwa kama kumsukuma mlevi vile.nikafanikiwa kujiunga hehe .mambo si mambo tena .........................hadi kivuli kinakabwa huku. halafu kitu kingine watu wanajua ushatoka.sijui mambo gani mlikutana nayo wenzangu ktk hii safari...

Du mkuu unanitonesha vidonda maana mwenyewe natuona hutu tu miaka 2 twa chuo tulichobaki kama vile karne nzima....maana kila siku shida juu ya shida .....waga sipendi sana fikiria safari ya shule maana tangu nizaliwe maisha ninayoyajua zaidi ni ya shule so nahamu sana kutaste radha ya mtaani ikoje....
 
nilikuwa nasoma nilikua napewa kila kitu bure na wazazi enzi hizo shule za bweni, na nilikua na afya ya kuridhisha tu, lakini sasa hadi nimefikia hii elimu ya chuo naona nazidi kuchoka, hata niliosoma nao huniambia mbona unazidi kukonda? ndio hapo nilipojua kuwa ukiwa unasoma na wazazi wanakupa kila kitu ni rahisi kuliko kumaliza na kuanza maisha yako, ingia mtaani uone hata kama una ajira utasema bora shule kuliko mtaani
 
Kama shule kwako ni ngumu, basi jaribu ujinga. Hakuna kwenye urahisi bwana. Huo ugumu unaouona wewe wenzako wanautafuta. Piga shule bwana mdogo, acha siasa.
mkuu sio siasa ila siasa ndio inainterfia life letu la kila siku hivo huwezi kuiescape
 
Back
Top Bottom