Shule ngumu jamani kha!!

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
jamani GT member hivi shule ni ngumu kwangu tu au hata nyinyi mnaondelea na mliomaliza ??
nilianza chekechea mwaka 1991...nikaendaaa darasa la saba nikaliua mwaka 1999..nikajiunga na form one boarding. sasa huku ndio nilikutana na mambo kwanza kuwaoshea vyombo form two (i mean form 2 hadi six.nadhani mliosoma boarding mnanipata haswa ila tukio ambayo sitayasahau ni siku ambayo niliwekewa kiatu kinachonuka mdomoni nikaambiwa nipige simu nyumbani huyu jamaa siwezi kumsahau.ila haya yote yalipita nikaingia form six boarding hapa maisha yalikuwa mazuri.story za chuo kikuu zikawa zinanipa hamasa ya kusoma nikajua kuwa maisha huko yatakuwa kama kumsukuma mlevi vile.nikafanikiwa kujiunga hehe .mambo si mambo tena .........................hadi kivuli kinakabwa huku. halafu kitu kingine watu wanajua ushatoka.sijui mambo gani mlikutana nayo wenzangu ktk hii safari...
 
Unaposema "shule ngumu" unamaanisha masomo magumu au unamaanisha maisha ndiyo magumu?
 
we chapa shule tu, matatizo yako kila kona ya maisha. Soma mpaka ukutane na kibao kimeandikwa "NO CLASS AHEAD!"
 
Mtaani pagumu wewe!
Komalia darasa labda utakaporudi utakuta wanaJF washachukua nchi!
And by grace, huenda mambo yakawa mema!
 
japo unaiona shule ngumu, najua hesabu za kujumlisha unaziweza.

piga hesabu, tangu chekechea mpaka utakapokuwa umemaliza chuo utakuwa na umri wa miaka mingapi. Kwa hesabu zangu za haraka utakuwa na miaka chini ya 25.

chukulia kuwa utaishi miaka zaidi ya 70. that means ukifanya upumbavu na shule sasa, you will have burried in hell your next over 45 years. Ask those who messed with school, wanatamani wawe na umri kama wako, warudi shule.

Veritas Vos Liberos Faciet - The truth Shall set you Free.
 
Aisee umesahau ule wimbo tuliokuwa tunauimba kule shule ya msingi hasa kwenye gwaride la enzi hiyo
"miasha ya shule ni safari ndefuX2"
"vumi vumilia ni safari ndefu"
usikate tamaa wengi wamefika tu ........na wewe utamaliza.
 
japo unaiona shule ngumu, najua hesabu za kujumlisha unaziweza.

piga hesabu, tangu chekechea mpaka utakapokuwa umemaliza chuo utakuwa na umri wa miaka mingapi. Kwa hesabu zangu za haraka utakuwa na miaka chini ya 25.

chukulia kuwa utaishi miaka zaidi ya 70. that means ukifanya upumbavu na shule sasa, you will have burried in hell your next over 45 years. Ask those who messed with school, wanatamani wawe na umri kama wako, warudi shule.

Veritas Vos Liberos Faciet - The truth Shall set you Free.

Waheng walisema: Study as if you were to live forever..
 
kama unadhani maisha ya shule ni magumu, you have not seen anything yet...huku "duniani" ukija kwenye kwenye kazi, serious relationships, familia, jamii nk nk ndio utaelewa ugumu wa maisha ni nini...kaza buti ndugu yangu, safari ndio kwaaanza inaanza...
 
jamani GT member hivi shule ni ngumu kwangu tu au hata nyinyi mnaondelea na mliomaliza ??
nilianza chekechea mwaka 1991...nikaendaaa darasa la saba nikaliua mwaka 1999..nikajiunga na form one boarding. sasa huku ndio nilikutana na mambo kwanza kuwaoshea vyombo form two (i mean form 2 hadi six.nadhani mliosoma boarding mnanipata haswa ila tukio ambayo sitayasahau ni siku ambayo niliwekewa kiatu kinachonuka mdomoni nikaambiwa nipige simu nyumbani huyu jamaa siwezi kumsahau.ila haya yote yalipita nikaingia form six boarding hapa maisha yalikuwa mazuri.story za chuo kikuu zikawa zinanipa hamasa ya kusoma nikajua kuwa maisha huko yatakuwa kama kumsukuma mlevi vile.nikafanikiwa kujiunga hehe .mambo si mambo tena .........................hadi kivuli kinakabwa huku. halafu kitu kingine watu wanajua ushatoka.sijui mambo gani mlikutana nayo wenzangu ktk hii safari...
humu ndani tuna watoto kumbe?
 
kama unadhani maisha ya shule ni magumu, you have not seen anything yet...huku "duniani" ukija kwenye kwenye kazi, serious relationships, familia, jamii nk nk ndio utaelewa ugumu wa maisha ni nini...kaza buti ndugu yangu, safari ndio kwaaanza inaanza...
acha kuniogopesha man..it means kila cku bora ya jana? i think not true
 
simaanishi masomo ya darasani..namaanisha safari yake hadi kuimalliza

Safari ya kusoma siku hizi imekuwa rahisi sana, enzi zile za Juma na Roza na Kibanga ampiga mkoloni. Wakati huo Calculator haziruhusiwi, tulikuwa tunatumia "FOUR FIGURE" kwenye kufanyia calculations zote, Physics, Chemistry, Biology, Mathematics na masomo yote ya kukokotoa na kudadavua kwa kutumia tarakimu. Hapo ndiyo shule ilikuwa ngumu.

Kwanza shule ni chake, halafu ipo KM10 toka nyumbani na unatakiwa kuwahi namba saa moja kasorobo asubuhi. Kiranja alikuwa anaruhusiwa kukutandika viboko na ukigoma akikushitaki kwa mwalimu unapata twice ya alitaka kukutandika kilanja.

Ukifika chuo kikuu, mambo ya semester yalikuwa hakuna ni "TERM" tatu kila moja ina University Examination at least tano na kila moja CA ya at least three tests na homework mbili. Ukikamatwa UE tatu au zaidi unasubiri Disco kwenye final display, watu walikuwa wana-disco kabla ya mwaka kuisha.
 
acha kuniogopesha man..it means kila cku bora ya jana? i think not true

wewe enjoy maisha kila wakati na mahali kadiri inavyowezekana...kila mahali pana shida na raha zake, ukimaliza shule unakuwa umemaliza tatizo au raha moja moja lakini ukaanza mengine mapya because "there" is not better than "here"
 
Back
Top Bottom