Shule inayofundisha Kijerumani/Kifaransa

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Jamani ninatafuta shule inayofundisha Kijerumani ama Kifaransa kwa ajili ya mtoto wangu. Shule nyingi za Academy ni Kiingereza na Kiswahili. Nimeambiwa kuna shule za mikondo ya lugha hizo Kenya. Siko tayari kupeleka mtoto wangu kwa Mungiki. Kama unajua shule zenye lugha moja wapo wa hizo tafadhali niko serious niPM. Amemaliza shule za awali na kiingereza kimetosha nataka awe na background ya lugha zaidi.

Mch Masa
 
nenda pale jollies club pale aga khan..kuna chuo kinaitwa alliance franchaise sidhani kama nimepatia spelling zake vizuri..
 
Thanks! Nataka shule hizi za madarasa ya chini Darasa la 1-2 zinajengha misingi mizuri ya lugha.
 
We Mchaga nini? Mbona unapenda sifa! Huyo mtoto anajua lugha ya kabila lake kabla hajaenda kusoma hayo malugha ya wezi wa mali za Waafrika? Jipange upya.
 
Thanks! Nataka shule hizi za madarasa ya chini Darasa la 1-2 zinajengha misingi mizuri ya lugha.
Nilivyoona hii thread nikaikimbilia nikidhani ni binti mkubwa ana miaka >= 18, lakini kwa vile ni mtoto basi.
Kwa ufupi mimi ni mwalimu wa kifaransa na kiitaliano, ila kama utapenda akivunja #@!%$, npm nitamfundisha
 
ficha upumbavu wako usifiche hekima yako-
 
Nilivyoona hii thread nikaikimbilia nikidhani ni binti mkubwa ana miaka >= 18, lakini kwa vile ni mtoto basi.
Kwa ufupi mimi ni mwalimu wa kifaransa na kiitaliano, ila kama utapenda akivunja #@!%$, npm nitamfundisha

Nilikuwa nakuchukulia tofauti! Nina declare wewe ni Mpumbavu. Mchungaji yuko serious unaleta us.eng£ hapa.
 
Back
Top Bottom