Shule inauzwa bei powa! Shule inauzwa bei powa!

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Shule hii ipo Kisalawe mkoani Pwani, ina vibari vyote muhimu na ina eneo la ukubwa wa hekari 15, tayari madarasa 2 yamejengwa yapo katika hatua za mwisho kabisa . mnunuzi atamalizia ujenzi wa hayo madarasa na kuongeza mengine kama atakavyopenda. nyumba ya mlinzi imejengwa na imekamilika na mlinzi anaishi hapo. maji na umeme hayapo ila huduma hizi tayari zimefika eneo hilo. mfano eneo hili linapakana na Chuo Cha Maendeleo upande wa kulia na kushoto linapakana na Lutherani mission taasisi hizo 2 zina huduma ya maji na umeme. hivyo mnunuzi atavuta umeme kutoka sehemu mojawapo. Bei yake ni Tsh 75m. kwa aliyetayari tuwasiliane
(0657 14 5555, 0755 099 291 na 0686 200 117. Akiri)
 
Haya ndugu zangu Waislam chamgamkieni fursa hiyo msilalamike sana tunataka vitendo sio porojo, si mnaona Wakatoliki wenzenu wamenunua Arusha Modern kwa billion nne...
 
Bei nzuri tu sana!...Labda kama hayo madarasa ni madogo sana!
 
Haya ndugu zangu Waislam chamgamkieni fursa hiyo msilalamike sana tunataka vitendo sio porojo, si mnaona Wakatoliki wenzenu wamenunua Arusha Modern kwa billion nne...
Watu wa dini zote mnakaribishwa kununa , na hata msio na dini cha msingi mukinunua muhakikishe watoto wote bila ubaguzi wa dini wanapata elimu bora na si bora elimu.
 
wanafunzi wanauzwa, wanfunzi wanauzwa bei sawa na bure kla mmoja.. Lak.. Kumi bei ya jumla lak sita
Sijakuelewa mkuu, hope ulikuwa unajaribu kuandika mashairi ya wimbo
 
Shule inauzwa vibari vyote vimelipiwa na mmiliki njoo uiendeleze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom