Shukrani zangu za dhati kwa wanaJF baada ya Uchaguzi

kumbe saidi kubenea ni mkereketwa wa chadema!!! Silisomi tena gazeti la mwanahalisi maana litakuwa upande wa chadema tu badala ya kuandika hakika!!!!
Mimi nimelisoma tangu nakala ya kwanza hadi leo sijawahi kukosa nakala hata moja. Ni ajabu ninazo nakala nyingi sana za mwanzo za mwanahalisi katika kumbu kumbu yangu nyumbani kwangu. Na nitaendelea kulisoma kama halitatekwa na mafisadi wa ccm. Ndilo gazeti pekee ninalojua kuwa halifungamani na vyama vyenu bali liko huru na linatoa ukweli kama ulivyo. Huwezi kukuta limebaki kwenye kaunta za wauza magazeti.
 
Keil;

Nimeanza kuogopeshwa na habari hii ya Dada Regia maana kuna sehemu anaonyesha kuwa nusura"uchakachuaji"umuondoe kugombea ingawaje alishinda kidemokrasia kwenye kura za maoni;kamshukuru sana Mbunge Zitto Kabwe kuwa ndiye aliyemsaidia"asichakachuriwe"!

Keil;

Nakuhakikishia kuwa mwaka 2015 ndani ya CHADEMA-kyela nitashinda kura ya maoni tena kwa urahisi kabisa lkn ukifanyika "uchakachauji" na kutengua ushindi wangu nilioshinda kidemokrasia basi sitakuwa na jinsi ingine zaidi ya kwenda chama kingine ambapo kwa urahisi kabisa nitashinda Ubunge!

"Uchakachuaji" ukifanyika basi yatajirudia tena kama yale yale ya kijana Kafulira kule Kigoma!
Kushinda kwa Kafulila si ushindi wake tu bali wa kambi ya upinzani kwa ujumla. Kwangu sijali utashindakutokea kambi gani ila nafurahi kila ccm ikishindwa.
Nampa heko Dr Slaa kwa kazi kubwa aliyofanya kuufanya upinzani upate sura uliyonayo. Na hili liwe somo kwa wabunge wateule wa upande wa upinzani watakapokuwa wakipambana na wakina Chenge.
 
Binti yangu, Regia namshukuru Mungu kwa mafanikio yako. Nasikia kujivunia hazina yako dada GS.
Nimekuombea na kukupa sapoti in a invisible way. Mungu akusaidie sana hata katika hatua nyingine ambayo unaanza hivi karibuni ukiwa mujengo.
Kiti cha Kilombero bado nina hakika ni chako na kitapata mrithi kabla ya 2015.
Mungu akupe afya njema. Na uwe mwanzo wa kuijenga zaidi Chadema ili isiwe hapa ilipo tu bali iwe pana zaidi kama alivyosema Sikonge. Mimi natamani operation nyingi za aina ya operation Sangara zianze sasa. Nitaziunga mkono.
Mimi ni mpenzi, mwanachama, na kada wa Chadema huku niliko. Mapambano ndio yameanza.
 
2015 tutakuwa wote financially. sikhjua wapi nitoe mchango wangu kjku support, lkn 2015 ntakuja ikibidi nyumba kwa yumba kukupa tafu.
 
kumbe saidi kubenea ni mkereketwa wa chadema!!! Silisomi tena gazeti la mwanahalisi maana litakuwa upande wa chadema tu badala ya kuandika hakika!!!!
Hata mimi naanza kuwa na shaka maneno aliyosema aka Kalumekenge wa Mbeya kuwa JAMII FORUM NI MALI ZA CHADEMA? INATUMIWA KUFANYA UCHOCHEZI? NI ZE UAMU MPYA? NI MDAU kauliza sio mimi hivyo kuna ukweli bado JF linaegemea CHADEMA
fungua "matondo.blogspot.com"
 
Dada regia hongera sana, hongera sana chadema, nakushukuru mnyika, nakushukuru dr. Slaa, ninawushukuru uongozi wote wa chadema tz na kwa dhati ya mtima wangu nakupongezeni wa tz na wana kilombero na kule ulanga magh. Nendeni bungeni mkiwa washindi, wapenda amani wenye kiu pevu ya maendeleo. Regia nitakutafuta soon after bunge session, nasisitiza ulanga na kilombero ni lazima uwe uwanja wa nyumbani. Rudi kawashukuru na ukale kiapo chako mkamba, mang'ula, mchombe,mbingu,mlimba,ngalimila, tanganyika, .. Ulanga
 
Hata mimi naanza kuwa na shaka maneno aliyosema aka Kalumekenge wa Mbeya kuwa JAMII FORUM NI MALI ZA CHADEMA? INATUMIWA KUFANYA UCHOCHEZI? NI ZE UAMU MPYA? NI MDAU kauliza sio mimi hivyo kuna ukweli bado JF linaegemea CHADEMA
fungua "matondo.blogspot.com"

Mwambie huyo mdau kuwa JF ni jukwaa huru mtu yeyote anaweza kubandika kile anachotaka. CCM hawaoni umuhimu wa kuwasiliana na watu ndio maana hata walimkataza JK asihudhurie midahalo huru, hata aliufanya haukuwa huru. Labda nikuulize ni mbunge gani wa CCM anaweza kujadiliana na wananchi kwa uhuru kama wanavyofanya wa CHADEMA? Angalia mfano mzuri ni huu wa dada yetu Regia.

Nina imani unaelewa nini ninachosema tatizo la CCM sio wasafi hawana moral authority ya kuongea na watu kwa hoja!

Hongera dada Regia kwa upiganaji wako.

Kweli kwa ujasiri unatushinda wengi, kwani sehem kubwa tunajificha kwenye majina ya bandia.

Njimba
 
Hata mimi naanza kuwa na shaka maneno aliyosema aka Kalumekenge wa Mbeya kuwa JAMII FORUM NI MALI ZA CHADEMA? INATUMIWA KUFANYA UCHOCHEZI? NI ZE UAMU MPYA? NI MDAU kauliza sio mimi hivyo kuna ukweli bado JF linaegemea CHADEMA
fungua "matondo.blogspot.com"
Karibu chadema na wewe ondoa hofu zisizokuwa na maana. Utagundua hapa ni mahali pa wasomi na waelewa wa mambo ya mitandao. Kama wanachadema ni among them, then it is accidentally wala alijapangwa.CCM najua wao wako Michuzi blog. Mie sihitaji blog ambayo inafanya censorship ya michango yangu. Ikimfurahisha Michuzi ndipo inaonekana na ikiwa against ya will yake anaitupilia bali kule. Hayo ni mambo ya ki ccm ccm
 
kumbe saidi kubenea ni mkereketwa wa chadema!!! Silisomi tena gazeti la mwanahalisi maana litakuwa upande wa chadema tu badala ya kuandika hakika!!!!

Sioni tatizo hapo! Afterall, Regia amemshukuru Saed kwa financial support kama ambavyo mzee Sabodo wa CCM aliisaidia CHADEMA. Zaidi ya yote Mwanahalisi ndio gazeti linaandika habari zilizotafitiwa ukitaka kusoma magazeti mengine ya udaku kimpango wako sisi hatuteteleki tunazidi kusonga mbele!!
 
Hongera sana Dada Regia kwa ujasiri wako wa kuthubutu kupambana na Mamba ambao walikuwa tayari kukumeza, lakini kwa kuwa ulionyesha nia na wao wakajua. vilevile nakupa pole kwa yote yaliyotokea Kilombero, tunajua ulishinda lakini wakachakachua matokeo ili Mteketa atangazwe mshindi. Sisi hapa Arusha tulikomaa nao mpaka wakashindwa kuchakachua matokeo, tulilala na masanduku mpaka asubuhi, kila wakala alikuwa ana nakala ya matokeo, vilevile kila wakala alikuwa analindwa na mtu asiyemjua, hivyo ilikuwa ngumu kwa wakala kurubuniwa.

Dada yangu pia nakupa pongezi za dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa mbunge wa viti maalum, ni nafasi ambayo umepewa na mungu mtakatifu ili upeleke hoja zako bungeni kuwatetea watanzania maskini. Asante sana na Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom