Shukrani za pekee kwa Dena Amsi

DA mama
Wewe ni mwalimu wa nini nije kupata "kikombe"??
:lol:

Read between lines my dear utaelewa huyu mtoto kanifanya mbaya sana leo aahh yaani nimeshituka kweli kuona jina langu kwenye title
 
Bishanga, tufahamishe na sisi basi hizo shukrani ni za nini? I presume kwa kuwa umetoa shukrani hadharani basi nasi tunaweza kushirikishwa.
Mzee kwa haraka haraka hii tuishen haikufai,we tayari ni Phd holder katika fani!
 
Nini kinaendelea hapa???? DA ( Ndo umeamua kumfanya hivi shemeji???Kua msiri basi mama!! )
 
Nini kinaendelea hapa???? DA ( Ndo umeamua kumfanya hivi shemeji???Kua msiri basi mama!! )

Darasa na wewe wataka kusoma tuandikishe?? (Nakwambia mambo mengine ni aibu tupu nimemfundisha kitu fulani ndo kaamua kunichana live nilishituka wewe nikasema he nimefanya nini tena??)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom