Shukrani za pekee kwa Dena Amsi

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Dena Amsi,
Lishemeji langu la ukweli,Salaam!
Mara baada ya salam naomba nichukue fursa hii adimu kukushukuru mbele ya hadhara nzima ya JF kwa kunipa li tuisheni la nguvu,nimefaulu mtihani na ushahidi ni hapo juu kushoto.Wenye jicho la husda,mtimanyongo,roho ya korosho,kauzibe,bora tukose wote na wake zao,na waume zao,na shangazi zao,na wajomba zao,na jirani zao wasisubutu kuingilia ushemeji wetu na wakijaribu washindwe na kulegea.
Kwetu tunasema 'Mae kasinge'!
Shemeji yako wa ukweli,
Bishanga Abashaija.
 
Aahhh nimeshituka kweli nilivyoona hiyo title yako hapo.
Wakola......

Sasa umetoa kila kitu hadharani jamani haya bana hata waliokuwa hawajui sasa mambo hadharani
 
Naam mambo hazarani! sasa mtihani pamoja na kufaulu umenipa maksi ngapi?
 
dada mwalimu Dena!!!

nilikuwa nakupa hi tu!!

napita sis wng wa ukweli!!
 
Naam mambo hazarani! sasa mtihani pamoja na kufaulu umenipa maksi ngapi?

100/100 umefauli naona na yale mambo ya home umeyatendea haki.

Hii unajua ungeipeleka kwenye chit - chat hapa si mahala pake. Ila nimeshituka kuona jina langu kwenye title
 
100/100 umefauli naona na yale mambo ya home umeyatendea haki.

Hii unajua ungeipeleka kwenye chit - chat hapa si mahala pake. Ila nimeshituka kuona jina langu kwenye title
Haya shem tuisheni nyingine hiyo.Tatizo humu jf huwa siendi mahali zaidi ya MMU,mimi mwanzo MMU mwisho MMU,zamani nikiingia kwenye jukwaa la siasa nikagundua linanipa ugonjwa wa moyo wakati maisha ni mastress kibao ndo nikagota zangu hapa,kama ni bar basi MMU kwangu ni kaunta.
 
Dena Amsi,
Lishemeji langu la ukweli,Salaam!
Mara baada ya salam naomba nichukue fursa hii adimu kukushukuru mbele ya hadhara nzima ya JF kwa kunipa li tuisheni la nguvu,nimefaulu mtihani na ushahidi ni hapo juu kushoto.Wenye jicho la husda,mtimanyongo,roho ya korosho,kauzibe,bora tukose wote na wake zao,na waume zao,na shangazi zao,na wajomba zao,na jirani zao wasisubutu kuingilia ushemeji wetu na wakijaribu washindwe na kulegea.
Kwetu tunasema 'Mae kasinge'!
Shemeji yako wa ukweli,
Bishanga Abashaija.

Bishanga, tufahamishe na sisi basi hizo shukrani ni za nini? I presume kwa kuwa umetoa shukrani hadharani basi nasi tunaweza kushirikishwa.
 
DA mama
Wewe ni mwalimu wa nini nije kupata "kikombe"??
:lol:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom