SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Wala usikate tamaa, ndoa haina formula. Tena wewe umeoa tu, usiwaze kabisa hayo mambo, muhimu ni kufurahia mibaraka yote ya ndoa na kuridhika na mwenzi wako..
Nitakujoin mapema 2011 panapo majaliwa..Changamoto hazikosekani kwa kusikia habari toka kwa watu ila pia raha yake imo ndo mana hawatupi hivyo virago!!.. All the best my friend!..

......he!he!heeeeee...kumbe na we hommie bado? enewei utampa kampani .....h/boi Fidel 2012, though nimesikia anataka aipulu baki tu 2010!.......
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
!!!
 
......he!he!heeeeee...kumbe na we hommie bado? enewei utampa kampani .....h/boi Fidel 2012, though nimesikia anataka aipulu baki tu 2010!.......
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
!!!
hommie bana!...(nitaku-piemu,kuna kajidharura hapa ofisini kanataka kutokea...ngoja niconfirm)
 
......he!he!heeeeee...kumbe na we hommie bado? enewei utampa kampani .....h/boi Fidel 2012, though nimesikia anataka aipulu baki tu 2010!.......
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
!!!

Alafu mm kuna tetesi nimepata ndege niliyekuwa nammendea mapedeshee wameanza kusambaza sumu naweza nimkose hivi hivi any way Tumwibate yupo anachukua nafasi yake.
 
Alafu mm kuna tetesi nimepata ndege niliyekuwa nammendea mapedeshee wameanza kusambaza sumu naweza nimkose hivi hivi any way Tumwibate yupo anachukua nafasi yake.

.....he!he!itakuwa umecheza chini ya kiwango hommie? unanyang'anywa tonge mdomoni?
 
Homu boi mkwanja una nguvu sana ngoja nimsikilizie anahamia Iraq hivi karibuni trip za Iraq zitaongezeka.

..yaani kwa marehemu Saddam Hussein?.....simple Checki na mshikaji Al Zqawi, wa do ze business fasta akishafika huko...........
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
!
 
..yaani kwa marehemu Saddam Hussein?.....simple Checki na mshikaji Al Zqawi, wa do ze business fasta akishafika huko...........
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
!

Hahahaha Ir ya nyanda za juu homu boi hujui ukiwa kule wanaita Iraq hahaha kwenye ulanzi mwingi.
 
Back
Top Bottom