Shukrani na Mwariko kwa wana JF

Sirlower Masaga

New Member
Mar 8, 2010
1
0
Napenda kuwashukuru wana jamii kunikaribisha kwenye jumuiya hii iliyo makini, pia nikiwa Kijana ninayependelea Kufatilia na kutafiti mambo ya Kisiasa,kiuchumi na Burudani nitumie fursa hii
kuwataarifu wanajamii wote kuwa nipo tayari kushirikiana nao
KIA Ric.jpg
 
Jisikie home kabisa na kesho kura yako kwa Dr Slaa, Mbunge/diwani wa chadema. Pia usisahau kumfanyia kampeni kwa ulio karibu nao ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom