Shujaa wangu makani

Mifumo

Member
Mar 29, 2012
11
0
Hakuna mwanadamu aliyezaliwa kwa bahati mbaya kila mwanadamu ana makusudi na kazi maalumu mungu amempa duniani,tofauti ni kwamba tunazidiana vipaji ambavyo mungu ametupa,makani ni mmoja wa wanasiasa hapa nchini ambao mungu alimjaalia kipaji na uwezo mkubwa katika medani ya SIASA,ninaweza kusema ni kama tunu kwenye taifa letu,amekuwa mchango mkubwa katika kukuza demokrasia na dhana ya utawala bora katika TAIFA letu ingawa kwa sasa hayupo duniani lakini kuna mengi ambayo ameyaacha wakati wa uwepo wake katika sayari hii,wanasiasa mlioabaki bila kujali itikadi zenu za kisiasa na watanzania tuliobaki tusiache haya aende nayo tuyachukue na tuyaendeleze ili kulisukuma mbele taifa hili lilikosa matumaini likapate matumaini mapya,poleni CHADEMA,poleni watanzania wenzangu..
RIP MAKANI
 
Back
Top Bottom