Show ya times fm kiboko !!!!

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Naipenda sana show ya akina Masanja na Nyerere ya 2 by 2 NA IKIBIDI NOMA IWE NOMA. Show nzuri sana, jamaa wana kipaji na wana chemistry nzuri sana. I hope wanalipwa vizuri na kufaidi jasho lao. Kuna marekebisho kidogo ya hapa na pale lakini show ni kiboko, nawapa 98%. bye bye WAFU FM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom