Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

Mimi naona kama utetezi ndo umeegemea kwa Marry mtashindwa vibaya, Hebu tupeni defination ya neno mkazi, kabla hamjaenda mbali. Ili mtu awe mkazi inambidi awe ameishi maeneo hayo kwa kipindi kipi? je neno mkazi lilotumiwa hapo linahusiano gani na mkazi kwa maana ya mimi mtanzania na mkazi foreigner utofauti wake upo vipi?

Kanuni za ubunnge mkazi ni yule anayekuwa kwenye eneo kwa muda usiopungua miaka mitano kabla ya uchaguzi husika. hizi ndo kumbukumbu zangu za hiyo kanuni!
Naamini na Chatanda alikuwa mkazi wa Arusha kwa huo umri!
 
Makinda alisema: “Bunge letu hili lazima liwe na adabu ya hali ya juu; waziri mkuu na ahadi yake aliyoiweka ndani ya Bunge hili anaweza kulidanganya?”

juu

Makinda soma alama za nyakati mama.

Fisadi Lowasa aliyekuweka kwenye nafasi ya Spika si aliapa hatodanganya? Mbona alishiriki kuleta katika nchi kampuni yao ya mfukoni ya Richmonduli?

Unadhani mtu kuwa na cheo cha Waziri Mkuu ni sawa na kuwa Kerubi au Serafi?

CCM wote lenu moja. Pinda kadanganya. Wananchi wa Arusha watatoa ushahidi.

Subiri.
 
Na vipi kuhusu spika anapodanganya je mbunge anaweza kuomba muongozo wa spika na kanuni inasemaje ju hilo kwani naonapia anna makinda kalidanganya bunge

Chama Cha Mafisadi (CCM) kilifanya makosa kupandikiza Spika bila kufanya utafiti; matokeo yake Bunge lina Spika anayetoa hukumu bila kufanya utafiti.
 
Du jamani kesho 14/02/2011 si mbali tutashuhudia pumba ni zipi?
 
Kanuni za ubunnge mkazi ni yule anayekuwa kwenye eneo kwa muda usiopungua miaka mitano kabla ya uchaguzi husika. hizi ndo kumbukumbu zangu za hiyo kanuni!
Naamini na Chatanda alikuwa mkazi wa Arusha kwa huo umri!

Mkuu nashukuru sana kwa majibu yako. Sasa watetezi kwanza waturidhishe ya kwamba mary hakuwai kuishi arusha mda huo.Hata kama hakuwai ,binfsi sijui watathibitisha vipi huyu mama si mkazi wa Arusha.Haya mpira tunawaachia mtuthibitishie sisi hadhira madai yenu.
 
Ni Bwana yake tu anaweza kuthibitisha hilo.

nyie wengine wapiga matarumbeta tu
 
Ni Bwana yake tu anaweza kuthibitisha hilo.

nyie wengine wapiga matarumbeta tu

Teh teh teh,
Bwana yake tu, mhhhhhhh. Nasikia chadema wanavithibitisho, ngoja tuone watatuthibitishia vipi kwamba mary si mkazi wa arusha.
 
Kanuni za ubunnge mkazi ni yule anayekuwa kwenye eneo kwa muda usiopungua miaka mitano kabla ya uchaguzi husika. hizi ndo kumbukumbu zangu za hiyo kanuni!
Naamini na Chatanda alikuwa mkazi wa Arusha kwa huo umri!

kanuni ipi?

weka facts, siyo porojo za kutunga kitandani kwako.
 
Mimi naona kama utetezi ndo umeegemea kwa Marry mtashindwa vibaya, Hebu tupeni defination ya neno mkazi, kabla hamjaenda mbali. Ili mtu awe mkazi inambidi awe ameishi maeneo hayo kwa kipindi kipi? je neno mkazi lilotumiwa hapo linahusiano gani na mkazi kwa maana ya mimi mtanzania na mkazi foreigner utofauti wake upo vipi?
Mkuu Mkazi ambayo ni Resident maana yake ni, A person who lives in a place for some continous time, distinguished from a visitor or transient. Hapo issue ya foreigner sijui imeingia vipi wangetaka kutofautisha wangetumia neno citizen (Mtanzania)
 
Kwani foreigner hawezi kuwa resident?
 
Picha ndo limeeanza,namuona refa madam akipendelea upande mmoj,ila safari hii hatuwachekei wamezidi sana,huyo mkuu wa mawaziri asifanye jiniaz kwamba kila swali analo ulizwa anajibu tuu,vitu vinginine vinahitaji pause mzeya fikiri kaba hujajibu sisi wakazi unatukera ukisema my amepatikana kihalali wakati si tunajua mmetumia njia za panya kumuweka bwana shirima kwa maslahi yetu watch out bwana ndugu zetu wamekufa mmetupiga mabomu ya machozi kwa haki yetu,mmefanya kila njama ila arusha muichukue leo kisa serikali ni ya kwenu we r not stupid kama ni nchi nyingine ungejiuzulu guy.hiyo n kashfa man step down,nikikumbuka yaliyotokea arusha ,tuliyoyapata mabomu ya machozi kupigwa risasi kufanywa vilema wa maisha,na majibu uliyoyatoa bungeni huku wabunge wa chadema mkiwakandamiza waziwazi.we fade up dude..................................
 
Kwani foreigner hawezi kuwa resident?

Ofcourse foreigner anaweza kuwa resident lakini kuna kipengele ambacho kinasema mbunge lazima awe citizen, kwahiyo hapa in short as well as kuwa citizen lazima awe resident wa mkoa huo....
 
Ofcourse foreigner anaweza kuwa resident lakini kuna kipengele ambacho kinasema mbunge lazima awe citizen, kwahiyo hapa in short as well as kuwa citizen lazima awe resident wa mkoa huo....

Asante mkuu wangu kwa maelezo yako, turudi kwenye msingi wenyewe je? kuwa mkazi ni kipindi gani hasa kinachotabilika. Ukinisaidia kwa hilo nitashukuru. Maana, mfano wa nchi za wezetu zilizo nyingi siku unasajiliwa mahala hapo unakuwa tayari ni mkazi wa eneo hilo. Sasa sisi iko je?
 
Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na waziri mkuu mwoga kama pinda........hana uwezo wa kupambana na ufisadi wa kukemea ndio maana anaamua kudanganya hata bunge kwa faida ya mafisadi ingawa yeye mwenyewe sio fisadi.......kwa mtindo huu naye ni affiliated fisadi hivyo hatufai kabisa

Kuchomo kwenye hili haiwezekani bila kukazimisha na ndivyo itakavyo kuwa ......lema jiandae kukaa nyumbani vikao vitano vya bunge na itakapo kuwa hivyo rudi jimboni kawaambie walio kutuma kuwa nchi haina waziri mkuu ila ila ina kibaraka wa mafisadi anaye julikana kama waziri mkuu na kujiita mtoto wa mkulima
 
]Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na waziri mkuu mwoga kama pinda.[/B].......hana uwezo wa kupambana na ufisadi wa kukemea ndio maana anaamua kudanganya hata bunge kwa faida ya mafisadi ingawa yeye mwenyewe sio fisadi.......kwa mtindo huu naye ni affiliated fisadi hivyo hatufai kabisa

Kuchomo kwenye hili haiwezekani bila kukazimisha na ndivyo itakavyo kuwa ......lema jiandae kukaa nyumbani vikao vitano vya bunge na itakapo kuwa hivyo rudi jimboni kawaambie walio kutuma kuwa nchi haina waziri mkuu ila ila ina kibaraka wa mafisadi anaye julikana kama waziri mkuu na kujiita mtoto wa mkulima

umesema vema...bora hata mzee Malechella ...
 
Kwanza huyu SUPIKA pinda hawezi kusema uongo yeye malaika sana ama ?
yaani wanasahau hata kufuata kanuni kabisa asilimia kubwa ya nguvu yao wameelekeza kuwapinga kwa nguvu zote CDM tu...
hawana cha nini kuangalia kabla hawajatoa matamko yao kabisaaa..wao wanajua tu ni kupinga chadema na wanaona chadema hawana haki hata kidogo ..simple logic ambayo angetumia huyu spika mawigi ni kwamba ..Glema ameomba mwongozo na akasema mfano kama waziri mkuu amezungumza uongo ....naona kama tukianzia hapo tu anashindwa au naelewa vibaya neno mfano si sio kitu halisi that means inawezekana alitaka mwongozo tu thats all...
 
Hivi Pinda aliposema waliouwa ni watanzania watatu ni kweli? Na hakuna uthibitisho usio na shaka kuonyesha wananchi waliouwa hawakuwa ndani ya mita 50 toka kituo cha Polisi? Mbona hayo mambo mawili pekee yanatosha kuonyesha Pinda hakusema kweli?
 
Sijajua ni kwa nini Spika anaamini kwa PM Pinda "hawezi kudanganya" eti kwa sababu "ameapa!" Pinda aliahidi Bungeni kwamba mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira ungerudishwa Serikalini lakini mmmh!
 
Ushahidi, kisheria, kibunge, ki-intelijinsia, kisiasa, ki-common sense all favours chadema more than PM. Kwa maneno mengine CDM ina wakati mzuri sana wa kurudisha heshima kwa ku-dela na watu dhaifu kama Pinda.

One of the things made Mwakyembe and his team popular is his influence to cause former PM to step down instantly! with this evidence CDM have got all reasons to force PM to step down at least to discpline other MPs indirectly.

Nistashangaa sana kama CDM itamkaukia Pinda katika hili, komaeni naye tumieni uwezo wenu woote ajiuzulu! that is another campaign for you in 2015!!
 
Mkuu habari ya siku.

Lakini kwa ushahidi gani watamuondoa? huo wa Marry aah naona hautoshi.
 
Back
Top Bottom