Show ya kiutu uzima ndani ya Dar Live

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Mambo ya mugongo mugongo hayo

8.jpg
 
Hizi nyingine ni laana tupu. Hawa ndiyo wanaomfanya mwenyezi Mungu anakasirika na kutulipizia kwa njia mbali mbali na majanga mbali mbali kama ukimwi, mafuriko, matetemeko nk.
 
Hizi nyingine ni laana tupu. Hawa ndiyo wanaomfanya mwenyezi Mungu anakasirika na kutulipizia kwa njia mbali mbali na majanga mbali mbali kama ukimwi, mafuriko, matetemeko nk.

Usemayo ni kweli kabisa mkuu.
 
Bahati yao Mrs. Platinumz hakuwepo, angewafunika wote...
 

Attachments

  • Wema Sepetu-Akisepetuka1.jpg
    Wema Sepetu-Akisepetuka1.jpg
    27.5 KB · Views: 187
Saa Hizi Dar Live Chalii Iko Hoi Haina Mvuto Nadhani Haijapata Promo Kama Zamani
 
Hapo pamoja na kucheza kote +jasho huko kumatako si ni harufu tupu...
Kuna watu wanatakiwa wapimwe akili..
 
Kuna jamaa yangu aliende disco mwaka mpya alivyorudi asbh akaniambia ndg yangu ongeza Maombi maana wenzako huko wanafanya mpk vitabu vyao vimejaa sasa wanaweza kutumia kitabu chako
 
Huyo wa nyuma ana sugu kila sehemu, sipati picha kwa bibiake kukoje kama nje tu yuko ivo!!!
 
Back
Top Bottom