Show ya Diamond Bukoba kuanzia tarehe 30-31 mwezi huu Kalipwa Million 30

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Nampongeza sana uyu mwanamziki kwa kujituma sana,na hana mpinzani kwa sasa,show yake atakayopiga Bukoba Tarehe 30,Bukoba mjini,Muleba na Karagwe kwa hizo siku mbili amelipwa Million 30.
Pia nakubali hoja yake nje awalipi sana kama show za nyumban Tanzania,wanamuziki wengine wanaoenda kupiga show nje ulipwa dolla 2000 lakin jamaa ameona bora apige show za apa apa Tanzania,kutokana na malipo mazuri,hongera sana
 
duu,watu wana hela za mchezo.unamlipa mtu ambae nyimbo ndio zile zile na kukata mauno kule kule millioni 30?hongera zake kwa kuzichuma.
 
duu,watu wana hela za mchezo.unamlipa mtu ambae nyimbo ndio zile zile na kukata mauno kule kule millioni 30?hongera zake kwa kuzichuma.
hapo ni kutakatisha fedha haramu,maana return kwa huyo promota itakua ni hasara almost 40m.
 
haina haya ya kumponda msanii wetu,kupitia yy anawawezesha na vijana wengine kujipatia ajira. Tumtie moyo na si kumponda hata ktk mazuri.
 
Back
Top Bottom