Should you maintain contact or friendship with Ex-partner?

mimi hapana kwa kwel .............X wako unampgia simu unatafuta nini? umemkuta mahali bila ya shaka kusalimiana wajibu lakini sio ufutuke tu umtafute kumsalimia ..........aggr
 
......Inategemea na mlivyoachana, wengine tulitenganishwa na ndugu hivyo hatukuachana kwa ubaya.Mie huwa nawasiliana naye vizuri maana sio adui yangu.
 
tatizo liko wapi?? kwani keshageuka ng'ombe???

it doesnt matter as long as hakuna makumbusho.... i do communicate with my ex na sina lolote ninalotegemea kutoka kwake
 
Mambo ya kusema once in a while ni tabia ya uhuni-kwenu nyote wawili maana kama mkishaamua kila mtu kuishi maisha yake mawasilianao ya nini? C una mke au mume? Ya nini kurandarand nje? Mwishowe utaletea familia yako magonjwa amabayo yangeweza kuepukika.We unadhani toka muachane kaishafanya mangapi? Acheni kutafuta mbinu za kuhalalisha ngono humu ndani. Ukikutana naye mwaweza kusalimiana lkn kuwasiliana tena kwa cmu!!!!!! ckubalianai na hili

Na kama mmezaa naye na mkaachana kwa vurugu mmoja kabaki na watoto inakuwaje hapo, na tayari umeoa/umeolewa kuna umuhimu wowote hapo?
 
Mambo ya kusema once in a while ni tabia ya uhuni-kwenu nyote wawili maana kama mkishaamua kila mtu kuishi maisha yake mawasilianao ya nini? C una mke au mume? Ya nini kurandarand nje? Mwishowe utaletea familia yako magonjwa amabayo yangeweza kuepukika.We unadhani toka muachane kaishafanya mangapi? Acheni kutafuta mbinu za kuhalalisha ngono humu ndani. Ukikutana naye mwaweza kusalimiana lkn kuwasiliana tena kwa cmu!!!!!! ckubalianai na hili

Hapo kwenye red, labda mimi sijaelewa mawasiliano gani yanayoongelewa. kwani kila mawasiliano yanapelekea ngono? ndo yale yale mke/mume hataki kabisa mwenzi wake awasiliane na mtu wa jinsia tofauti, anamfikiria vibaya tu. Kwa upande wangu, mume wangu awasiliane tu na huyo X ilimradi tu hayo mawasiliano yasihusishe ngono. Najua mimi ndo mkewe aliyenichagua kati ya hao maX hata kama ni 10, so hawanipi presha.
 
Mambo ya kusema once in a while ni tabia ya uhuni-kwenu nyote wawili maana kama mkishaamua kila mtu kuishi maisha yake mawasilianao ya nini? C una mke au mume? Ya nini kurandarand nje? Mwishowe utaletea familia yako magonjwa amabayo yangeweza kuepukika.We unadhani toka muachane kaishafanya mangapi? Acheni kutafuta mbinu za kuhalalisha ngono humu ndani. Ukikutana naye mwaweza kusalimiana lkn kuwasiliana tena kwa cmu!!!!!! ckubalianai na hili

.......Watu tunawaza tofauti, hivyo ukiwasiliana na X basi mazungumzo yatakuwa ngono tu? Eti tabia ya uhuni khaaaaa!! Naona umefika mbali sana au ndio fikra zako zimeishia hapo.
 
.......Watu tunawaza tofauti, hivyo ukiwasiliana na X basi mazungumzo yatakuwa ngono tu? Eti tabia ya uhuni khaaaaa!! Naona umefika mbali sana au ndio fikra zako zimeishia hapo.

Hujambo Pretty? And how is that baby doing? When are you due?
 
.......Watu tunawaza tofauti, hivyo ukiwasiliana na X basi mazungumzo yatakuwa ngono tu? Eti tabia ya uhuni khaaaaa!! Naona umefika mbali sana au ndio fikra zako zimeishia hapo.

tatizo nadhani watu wanadhani mawasiliano mengi kati ya jinsia tofauti yanahusisha ngono, kitu ambacho mimi sikubaliani nacho kabisa. Mfano mzuri ni mimi mwenyewe, marafiki zangu wengi (wa karibu sana) ni wanaume (ambao wameoa na wasioolewa). tunaheshimiana sana, na stori zetu haziendi kabisa kwenye ngono, maisha yanaendelea na urafiki unaendelea. na hii inanisaidia sana hata nikikuta mume wngu ana rafiki wa kike wala hainisumbui, najua ni marafiki tu.
 
Hujambo Pretty? And how is that baby doing? When are you due?

.......Mimi nipo poa mtu wangu, mtoto yupo poa tu nadhani katakuja kuwa katundu maana yupo busy mno kupiga mateke.My due date is November.......I got a long way to go my dear.
 
.......Mimi nipo poa mtu wangu, mtoto yupo poa tu nadhani katakuja kuwa katundu maana yupo busy mno kupiga mateke.My due date is November.......I got a long way to go my dear.

Lazima atakuwa mtundu kama NN.....lol

All the best girlie.....
 
.......Mimi nipo poa mtu wangu, mtoto yupo poa tu nadhani katakuja kuwa katundu maana yupo busy mno kupiga mateke.My due date is November.......I got a long way to go my dear.

Mtoto ambaye yuko busy tumboni ni dalili nzuri zinazoonyeasha kwamba yuko very active. Naona due date yako inakaribiana na ya Da Sophy...inaweza ikatokea coincidence ya hali ya juu mkajifungua siku moja. Sijui yule Sasha Fierce aliyetegea kujifungua mapacha alipotelea wapi maana pamoja na kuwa alitutaarifu kuhusu ujauzito wake lakini akapotea mara tu baada ya kututaarifu na hajaonekana tena.
 
hivi wana ndugu mnaonaje, mawasiliano na mtu ambaye mliwahi kuwa na mahusiano siku zilizopita, mnaonaje imekaa njema? Tena baada ya kuoa ama kuolewa!

mi naona inahamasisha mpasuko wa mahusiano mapya kama mlikua mnatakana kweli why msioane?.
 
Kwani wote waliooana walipendana si kwamba kuna wengine ni circurmstances ziliwafanya wafanye walichokifanya???? Kuna wengi wapo kwenye ndoa lakini wanajutia. Mawasiliano yanaweza kuwepo katika hali ya kujuana hali na si vinginevyo kwani amekuwa adui yako. Nakubaliana na kwamba si kwamba muanze kutafutana kwa bidii. Kama mnaweza kuwasiliana hapa na pale kujuliana hali za familia zenu haina mbaya.
 
Kwa mtazamo wangu mimi mawasiliano na mwenzi wako wa zamani yanaweza kuwa chanzo cha mtafaruku baina yako na mwenzi wako wa sasa (kama unaye na kama hapendezewi na wewe kufanya hivyo). Kwa hiyo basi ni vyema kutokuwa na mawasiliano na mwenza wako wa zamani kama upo kwenye uhusiano na mtu mwingine. Ila hii haina maana ya kwamba hata ukikumbana naye kwa mfano mjini usimsalimie.
 
......Inategemea na mlivyoachana, wengine tulitenganishwa na ndugu hivyo hatukuachana kwa ubaya.Mie huwa nawasiliana naye vizuri maana sio adui yangu.

vzr sana

Jamani hata kama mkiachana na mliopendana nao achaneni kwa wema mnaweweza kuendelea kuwasiliana lkn sio kuwasiliana kwa ngono. mawasiliano ya kawaida hayakatazwi jamani
 
Kuna ubaya gani ukimla kidogo kukumbushia....ukiangalia kwa mtizamo dhabiti...unaweza kuta akasaidia huduma muhimu za nyumbani ambazo zinaweza kuwa zimepungua home.
 
Kama mna watoto ni muhimu sana kuwasiliana....kama no kids then i dont see the logic
 
Back
Top Bottom