Should you maintain contact or friendship with Ex-partner?

Don't be friends, but dont be enemies either. There is nothing to be friend about, If the relatioship did not work, move forward with your life concentrate on your new relationship and stop referring back as if you forgot something behind.
 
NI NGUMU SANA, IKO SIKU MTAJIKUTA MNAKUMBUSHIA ENZI ZENU.
kwani mahawara hawaachani hata siku moja!!!.
 
hope jambo zuri kwenye mahusiano ni kuwa wazi mweleze mwenzako juu ya maisha yako ya nyuma kama kweli unampenda na sahau mahusiano yalopita hata kama yalikuwa machungu kiasi gani na mpende mpya kanakwamba ujawahi kuumizwa akuna sababu ya kuwabeba watu moyoni kama daladala
 
NI NGUMU SANA, IKO SIKU MTAJIKUTA MNAKUMBUSHIA ENZI ZENU.
kwani mahawara hawaachani hata siku moja!!!.
GP nawe nyoosha vizuri maneno!

Ni ngumu sana maana yake nini...unamaanisha ni ngumu kuwa rafiki na wako wa zamani?

Mi nionavyo ugumu haupo, ila control ndo ngumu, na usipokuwa makini unamwacha wa sasa, maana wa zamani atarudi kama mbogo aliyejeruhiwa, na atakupa mapenzi ambayo hakukupa huko nyuma!
 
Don't be friends, but dont be enemies either. There is nothing to be friend about, If the relatioship did not work, move forward with your life concentrate on your new relationship and stop referring back as if you forgot something behind.

Its not easy to befriend someone who has hurt my feelings, broke my heart!! mara nyingi sipendi hata nimsikie. huwa namchukia kweli kweli!!!!
 
NI NGUMU SANA, IKO SIKU MTAJIKUTA MNAKUMBUSHIA ENZI ZENU.
kwani mahawara hawaachani hata siku moja!!!.

aaah we binamu nani kasema hawaachani!!!! to me there is no going back, nini kilibaki kizuri cha kujikumbushia!!!
 
aaah we binamu nani kasema hawaachani!!!! to me there is no going back, nini kilibaki kizuri cha kujikumbushia!!!

Bht, u seem to be expert in this particular maatter!...are you spilling down your xperience?
 
Bht, u seem to be expert in this particular maatter!...are you spilling down your xperience?

hahaaaa bodah!!! mbona hivo!!!??? ukweli ni kwamba tukiachana tumeachana, kama kulikuwa huo no msimamo wangu. there is no turning back!! unataka ujikumbushe nini?? mbona mliachana basi kama kulikuwa na kitu ambacho unadhani ni muhimu mjikumbushie!!!!!
 
mara nyingi wanaume wanaona ni rahisi/ni vyema wakionyesha wapenzi wao
ma-ex wao. hata hivyo inakuwa vigumu kwa mwanaume kufurahia kuonyeshwa ex-wa mpenzi wake.

mwanaume anakuwa hana jinsi pale anapomjua ex wa mpenzi wake kwa vile ni baba mtoto wake au jamaa aliyempokonya mpenzi kwa makusudi au anamwibia mwenzake (awe mume au vinginevyo). kinyume cha hapo inakuwa ngumu sana kwa mwanaume kupokea taarifa kutoka kwa mpenzi wake eti "yule ndo alikuwa wangu" lol
 
Hivi wana ndugu mnaonaje, mawasiliano na mtu ambaye mliwahi kuwa na mahusiano siku zilizopita, mnaonaje imekaa njema? tena baada ya kuoa ama kuolewa!
 
Here we go again....ni heri kuwa mseja tu maana adha kama hizi utazisikia kwa wengine.
 
Suala sio mawasiliano. Tatizo ni mawasiliano ya aina gani? Na unawasiliana nae kwa ajili ya nini?

Kama kuna majibu ya msingi kwa maswali ya hapo juu, sawa. Vinginevyo huko ni kuangalia nyuma kama mke wa Lotu, utageuka jiwe la chumvi muda si mrefu!
 
Hakuna mbaya kwani mmeshakuwa maadui in a way msiwasiliane????? kama mliachana kwa uzuri why not once in a while ruksa!!
 
Mambo ya kusema once in a while ni tabia ya uhuni-kwenu nyote wawili maana kama mkishaamua kila mtu kuishi maisha yake mawasilianao ya nini? C una mke au mume? Ya nini kurandarand nje? Mwishowe utaletea familia yako magonjwa amabayo yangeweza kuepukika.We unadhani toka muachane kaishafanya mangapi? Acheni kutafuta mbinu za kuhalalisha ngono humu ndani. Ukikutana naye mwaweza kusalimiana lkn kuwasiliana tena kwa cmu!!!!!! ckubalianai na hili
 
Back
Top Bottom