twenty2
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 296
- 32
inonyesha wewe ni msaliti sana.haitakiwi ivyo.badilika.si mbaya kama huna nia ya kurudiana nae maana wengine ndo inakua tiketi ya kurudisha enz.but make sure present wako asijue walio wengi hawapendi kuona still mnawasaliana na x