Should you go for a DNA test?

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
551
249
Uko na mpenzi wako kwa muda mrefu. Baada ya muda girlfriend anakwambia she is expecting a baby. You get confused because rafiki yako wa karibu alikwambia that she had been cheating on you. To make matters worse, mama yako also believes that you are being trapped.
Nine months down the road, the girlfriend gives birth to a bouncing baby boy, but you keep on doubting whether wewe ndio baba wa mtoto.
Baada ya kutafakari you decide to ask the girlfriend for a paternity test. She insists the child is yours but you stand on your ground.
When the test is eventually done, you find that the child is yours.
Swali kwa wanawake je will you continue the relationship or that will be the end? Baada ya mwanaume kuonyesha that he doesn't trust you. How would you handle such a situation in the house if you decided to continue the relationship?
 
Amua moja kama kidhungu kidhungu kama kiswahili kiswahili umenichanganya kabisa
 
Mkuu wewe mtoto wa kume so ongea nae na mwambie muende hospital,Ulishaambiwa kwamba alikuwa anakucheat sasa maswali ya kujiuliza ya nini, Saa zingine mwanaume inabidi u react kama mwanaume....sasa kwa vile kasema ohhh mtoto wako ndio huwezi kuchukua any action noooo mkuu...Mwambie unakataa na unataka hivyo atakuelewa tu.....
 
kwa upande wangu,kama ningekuwa mimi na kama nilikuwa muaminifu kwako,kwa kweli ingeniuma mno,vile vile mahusiano yetu,yangekuwa si mazuri kwani ni wapenzi tu,ila kama ungeniomba msamaha sana na mimi nakupenda na juu ya msamaha ungetangaza ndoa,maybe ningehadaika kwa hiyo ndoa na kuamini unanipenda.ila kama sikuwa muaminifu kwako,halafu majibu ya DNA ni mtoto wako,na ningekijutia kitendo cha kutokuwa muaminifu kwako,yangeisha na tungesameheana wote.jambo la mwisho,umeelezea humuamini tena.kwa upande wangu kama unaniambia huniamini tena,hapo sikubali kamwe kuendelea kuwa na wewe,inakuwa haina maana tena ya kuwa wapenzi bila kuaminiana.
 
yap kama ni mimi nitaendelea na relationship
kwani sasa si kuhusu mimi na wewe tu tuna mtoto sasa
kwa hiyo hapo kwa kweli ni kufanya juu chini msameheane
muyaweke pembeni na mfikirieni mtoto...

kweli mtagombana sana lakini ukweli ni kwamba
kwenye stage ya maisha ambayo mmefikia
ni bora kutafuta solution kuliko kukimbiana ...
 
Mimi kama nilikuwa nachakachua nitapumua kwa ushindi, ila kama nilikuwa mwaminifu nitasikitika sana na nitahisi huenda yeye sio mwaminifu ndio maana ananihisi vibaya, labda tu anieleze hizo stori alizokuwa anapewa na watu ndio zilizompelekea kufanya hivyo, all in all nitamsamehe tu.
 
kwangu mimi kuniambia tu hiyo sentensi 'kupima DNA' ntajisikia fadhaa sana.
Tukipima tu na ikawa ni mtoto wake form that day CHANGU NI CHANGU,CHAKE NI CHANGU na naanza kuendesha maisha on my own way hata kama tunalalana kila siku.
 
yap kama ni mimi nitaendelea na relationship
kwani sasa si kuhusu mimi na wewe tu tuna mtoto sasa
kwa hiyo hapo kwa kweli ni kufanya juu chini msameheane
muyaweke pembeni na mfikirieni mtoto...

kweli mtagombana sana lakini ukweli ni kwamba
kwenye stage ya maisha ambayo mmefikia
ni bora kutafuta solution kuliko kukimbiana ...

Sina la kuongeza,napenda watu wenye busara na wenye kutumia akili zaidi kuliko hisia kama wewe...thats a very objective decision...:rain:
 
You have to learn to trust each other, its better to look for a solution other than sticking to a problem
 
Amua moja kama kidhungu kidhungu kama kiswahili kiswahili umenichanganya kabisa

Uko na mpenzi wako kwa muda mrefu. Baada ya muda girlfriend anakwambia she is expecting a baby. You get confused because rafiki yako wa karibu alikwambia that she had been cheating on you. To make matters worse, mama yako also believes that you are being trapped.
Nine months down the road, the girlfriend gives birth to a bouncing baby boy, but you keep on doubting whether wewe ndio baba wa mtoto.
Baada ya kutafakari you decide to ask the girlfriend for a paternity test. She insists the child is yours but you stand on your ground.
When the test is eventually done, you find that the child is yours.
Swali kwa wanawake je will you continue the relationship or that will be the end? Baada ya mwanaume kuonyesha that he doesn't trust you. How would you handle such a situation in the house if you decided to continue the relationship?
Dena hapa huelewi kidhungu au kiswahili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom