Should there be communication?

sijambo swty hut,uko pouwa?so watoto ndo watafanya mawasiliano yawepo eeeh?wat iof huyu uliyenae anawatake care watoto vizuri mnoooo?
Vizuri kusikia uko poa kabisa
Mimi bado nipo nipo na ninahema hahahah lol

Nway
My kama nilimzaa mwanangu wakati babayake yuko hapo na rukaishi mimi baba na mtoto pamoja..mpaka hapo mwisho ukafika tukaachana.. ni jukumu langu mimi kuhakikisha mwanangu anakuwa kumjua babayake mzazi .. na hiyo ni kama baba bado anamtaka mwana.. na partner wangu wa sasa anatakiwa alijue hili na nitaliweka wazi kwake..usema ukweli unaweza mpata baba wa kambo anakupenda anakutunza anakuheshimu.. lakini aliyekuzaa bado ni baba pia.. naogopa mwanangu kuwa mtu mzima aniachie mimi lawama hakumuona baba yake ajili mimi sikuwasiliana naye..
Ndo hayo tu asante mpenzi..
 
duh mamy utupu wa mtu uliewahi kuwa na mahusiano nae zen uuone mizinguo?lkn mpaka unafikia kuuona utupu wake mko wapi hapo and mmeenda kufanya nn?
Hhahha....mkikutana popote yani unakua huna hisia nae tena.Ukimwona mawazo yako hayaendi mbali...si ajabu hata ukafunga macho!!Ni kiasi tu cha kutokua unamtaka/mhitaji tena tu!
 
Pearl,binafsi naomba nitofautiane na majority hapo juu.Uzoefu unaonyesha kwamba kamwe ushemeji haufi.Bishanga nikipendana na Pearl maana yake ni kwamba kwa namna moja au nyingine nitafahamiana na ndugu zake , marafiki zake na hata na jirani zake,naye pia hali kadhalika. Kwa hiyo hata kama tumeachana likitokea la kutokea tuseme ex wangu afiwe na mtu wake wa karibu ,say mzazi,kwa vyovyote vile nitakwenda kuhani msiba,it is natural na nitampa mkono wa pole. Ni kwa msingi huo huo inawezekana wakati niko katika malavidavi na ex wangu labda kuna tu biashara nilianza kufanya na ndugu yake au rafiki yake,hata tukiachana sisi tutaendelea tu na ma bizness na si ajabu tukawa tunakutana na ex tunasilimiana. Jamani mapenzi yakiisha haina maana tuwe maadui hata tusizikane au kupeana laini za biashara!
 
Pearl hakuna sababu i see ..kwani amesahau kitu mpaka aendelee kupata mawasiliano
Mama NitakuPM ndo ujue kwa nn hakuna haja ,Ni kufunga kurasa na kuanza kurasa mpya kabisa ya maisha :smow:
 
Pearl kama tukiwa wapenzi leo ks terms na condition zikatufanya tushindwe kendelea kuwa wapenzi haina maana kuwa tuna kuwa maadui! Tunaweza bado kuwa marafiki tunaoheshimiana sana na wala tusikumbushane mambo ya nyuma.
 
Vizuri kusikia uko poa kabisa
Mimi bado nipo nipo na ninahema hahahah lol

Nway
My kama nilimzaa mwanangu wakati babayake yuko hapo na rukaishi mimi baba na mtoto pamoja..mpaka hapo mwisho ukafika tukaachana.. ni jukumu langu mimi kuhakikisha mwanangu anakuwa kumjua babayake mzazi .. na hiyo ni kama baba bado anamtaka mwana.. na partner wangu wa sasa anatakiwa alijue hili na nitaliweka wazi kwake..usema ukweli unaweza mpata baba wa kambo anakupenda anakutunza anakuheshimu.. lakini aliyekuzaa bado ni baba pia.. naogopa mwanangu kuwa mtu mzima aniachie mimi lawama hakumuona baba yake ajili mimi sikuwasiliana naye..
Ndo hayo tu asante mpenzi..
hapa assumption ni kwamba ukizaa na mtu kisha msioane basi mtoto unakuwa naye wewe,what if mwanaume ana uwezo na nia ya kulea mwanae kwa nini usimpe haki hiyo wewe ukaangalia mbele na huyo mpenzi wako mpya?
 
mmh nimekusoma najua wale watu hamna tatizo nao,ndugu ,jamaa na marafiki,tatizo ni kati yenu tu,sawa tunaweza kukutana na kusalimiana kawaida lkn ndo hadi tuanze na kupigiana cm na kutoka ma outings?khaaaaaa
Pearl,binafsi naomba nitofautiane na majority hapo juu.Uzoefu unaonyesha kwamba kamwe ushemeji haufi.Bishanga nikipendana na Pearl maana yake ni kwamba kwa namna moja au nyingine nitafahamiana na ndugu zake , marafiki zake na hata na jirani zake,naye pia hali kadhalika. Kwa hiyo hata kama tumeachana likitokea la kutokea tuseme ex wangu afiwe na mtu wake wa karibu ,say mzazi,kwa vyovyote vile nitakwenda kuhani msiba,it is natural na nitampa mkono wa pole. Ni kwa msingi huo huo inawezekana wakati niko katika malavidavi na ex wangu labda kuna tu biashara nilianza kufanya na ndugu yake au rafiki yake,hata tukiachana sisi tutaendelea tu na ma bizness na si ajabu tukawa tunakutana na ex tunasilimiana. Jamani mapenzi yakiisha haina maana tuwe maadui hata tusizikane au kupeana laini za biashara!
 
Pearl kama tukiwa wapenzi leo ks terms na condition zikatufanya tushindwe kendelea kuwa wapenzi haina maana kuwa tuna kuwa maadui! Tunaweza bado kuwa marafiki tunaoheshimiana sana na wala tusikumbushane mambo ya nyuma.
Mkuu unasubiri nini sasa??? Au unasubiri kupewa go ahead lol!!!!
 
hapa assumption ni kwamba ukizaa na mtu kisha msioane basi mtoto unakuwa naye wewe,what if mwanaume ana uwezo na nia ya kulea mwanae kwa nini usimpe haki hiyo wewe ukaangalia mbele na huyo mpenzi wako mpya?
Yani utoe nafasi ya mwanamke mwingine kukulelea mwanao wakati ungali hai?
 
kwakweli yani swty hut unamawzo yangu kabisaaaaaaaa,mawasiliano ya nn?ili iweje?yani ni sawa na umeacha kazi sehem ukapata sehem nyengine lkn kutwa uko office ya zamani kama bado unaipenda si upeleke applications upya?
Waiting 4 ur Pm tupige udaku sie
Pearl hakuna sababu i see ..kwani amesahau kitu mpaka aendelee kupata mawasiliano
Mama NitakuPM ndo ujue kwa nn hakuna haja ,Ni kufunga kurasa na kuanza kurasa mpya kabisa ya maisha :smow:
 
duh yani wapenzi leo tu jamani(kidding) fine najua heshima lazima tuiweke mbele,sikatai kuna sehem tukikutana tutasalimiana tena salamu ya heshima sio makiss na ma huggs,lkn sio ndo tufanye ka bby cme bak.
Pearl kama tukiwa wapenzi leo ks terms na condition zikatufanya tushindwe kendelea kuwa wapenzi haina maana kuwa tuna kuwa maadui! Tunaweza bado kuwa marafiki tunaoheshimiana sana na wala tusikumbushane mambo ya nyuma.
 
duh yani wapenzi leo tu jamani(kidding) fine najua heshima lazima tuiweke mbele,sikatai kuna sehem tukikutana tutasalimiana tena salamu ya heshima sio makiss na ma huggs,lkn sio ndo tufanye ka bby cme bak.

kabby kam bak haikubaliki kama malaria,BTW mi siko saaaana kisred hii ni njia tu ya kujiexpress kuwa nakupenda leo,kesho na siku zote.Potezea yeye finest
 
Pearl hakuna sababu i see ..kwani amesahau kitu mpaka aendelee kupata mawasiliano
Mama NitakuPM ndo ujue kwa nn hakuna haja ,Ni kufunga kurasa na kuanza kurasa mpya kabisa ya maisha :smow:

mmmmhh FL1! maisha hayendi hivo bana,hata kama mtu mnaachana bado ni binadamu kama wewe. Maumivu ya kuachana kweli ni makali lakini kumbuka siku zote TIME HEALS.Katika maisha jitahidi kuongeza marafiki na kupunguza maadui,ni heri ex awe rafiki kuliko awe adui maana katika maisha hujui mtakutana wapi. Baada ya miaka 16 ya kuachana kuna ex wangu alidakwa na manjagu huwezi amini mimi ndo nilimtoa lupango,hakuamini.
 
avatar36689_2.gif
avatar24628_6.gif
mmmmh kazi ipo hapa sasa,ol in ol its not about,appearance,its about hut,true love,commitment and determination,love u all but as u knw mmoja lazima atoke kwenye mashindano haya ya bba
 
Back
Top Bottom